Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mlima ni mrefu sanaaa.....Kwa kujifariji it's owkNinashabikia klabu ya Simba. Hakuna timu bora Tanzania kama Simba Sports Club.
Leo ninasimama kama Mtanzania kuanza kushangilia ushindi wa watani zangu Utopolo wahed. Nawaombea kwa moyo mweupe. Kombe la Shirikisho wakilichukua tutanufaika kama Taifa....
Watanzania tusimame na Yanga kwani wanawakilisha Taifa
GENTAMYCIME