Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Nime uninstall app iliyokuwepo ambayo ni latest, nika install hiyo aliyotuma kwy link. Yes, inafungua baadhi ya picha moja kwa moja kuliko iliyokuwepo. Ile kufungua picha ilikua mtihani kama kukombeleza kopo la colgate ikiisha.
Moderator wangelifanyia hili kazi ingekuwa poa Sana. Picha na maelezo ndio kila kitu
 
Nitumie link ya huo Uzi Mnama
 
Broswer ilishanidhinda siku mingi Wacha tu niteseke no option
Daah...! Uko kama mimi tu. Unakuta baadhi ya picha zinafunguka,zingine zinagoma na bahati mbaya mimi mwenyewe naendelea kuvumilia tu,itakayokubali sawa,ikigoma sawa. Browser pia mimi imenishinda. Nilijua niko peke yangu. Kumbe ni kilo cha wengi. Sijajua kwa nini JF wanarudi nyuma badala kwenda na wakati?. Siku hizi wamekuwa kama ccm tu
 
Mkuu mc Tobby, wewe ni 'story teller' wa kiwango cha juu sana, 'congratulations'!

Nimefuatilia 'story' hii mwanzo mwisho, kwa kweli ilikuwa inasisimua sana, ni kama vile mtu unakuwa unaangalia 'movie'! [emoji120][emoji106]

Chukua maua yako Boss!
Yah..ndio maana nawashangaaga watu wanaosema eti "wenye akili zao wanaacha kutumia jf kwakua kina utoto mwingi siki hiz".... ler them goo Vyuma hiv hapa vinakuja ... wale ma god father wa simuliz humu tutawa replace mmoja baada ya mwingine....
 
Mimi browser kwangu ndio mpango mzima..sijawahig kutumia App ya JF mimi..

Imawezekana labda kwasababu sis wengine ni internet addicts...i browse alot of stuffs and visits so many web pages a day...
 
Maisha ya kijinga sana ..zile kazi hafanyi mtu mwenye dhamiri yenye utulivu.Kaz zile ni za watu wenye kasoro fulan fulan kwenye maisha japo kwa nje wanaonekana kamili kwa nje..insecure people....ni kaz za kijinga sana japo zinawafanya wao wajione kama watu speciali .

All in all they pay high price to keep us safe.Wana sucrifice alot...
They deserve our respects. Ila sio kaz nzuri kabisaa
 
Kwa mujibu wa hii story ya Oleg ,ni kwamba Hizi taasisi naona zinakuchagua wewe ujiunge nao, na sio wewe unachagua na kuamua kujiunga nao[emoji28] .
 
U sound like a member from TISS!!!
 
Mimi Hadi nimeshazoea huu ujinga wa JF wa picha kutokufunga hamna namna hyo broswer hata sifungui, ila JF wanasikitisha badala waturahisishie users wao wanawake ugumu Yani app ya 2013 ilikuwa nzuri na Bora kuliko hii ya Sasa ambayo technology imekuwa. JF washarogwa si Bure au wameridhika na walipofika
 
Na sisi huku vipenyo si ndio mboga za majani Ina make sense Sasa utampaje mtu nafasi anayeamini ideology nyingine atakuwa msaliti. I think hata uko USA Wana namna Yao ya ku recruit nadhani sifa mojawapo ni uzalendo
Shida ya huku kwetu kwa miaka ya kuanzia 1990s, ni recruitment ya yuvisisiemu kuwafanya tiiis kwa ajili ya kukipigania chama badala ya kuipigania nchi.
 
Tuna double agents wengi sana kwetu kulivyo tunavyoweza kudhania.
Recruitment yetu kwa sasa,ndiyo inapelekea hilo.
 
Vipo,"classified".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…