Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Nime uninstall app iliyokuwepo ambayo ni latest, nika install hiyo aliyotuma kwy link. Yes, inafungua baadhi ya picha moja kwa moja kuliko iliyokuwepo. Ile kufungua picha ilikua mtihani kama kukombeleza kopo la colgate ikiisha.
Moderator wangelifanyia hili kazi ingekuwa poa Sana. Picha na maelezo ndio kila kitu
 
Kuna uzi humu unaelezea jinsi Iran inavotungua wasaliti wa nchi yao. Hata uwe wapi au ulindwe vipi jamaa wanakusakama mpaka wakumalize.

Vipi hao warusi wao walimuacha tu jamaa au kuna sababu iliyofanya asifanywe kitu??

Yaani kwa Marekani msaliti alihukumia kifungo cha maisha ila Urusi jamaa angebainika ni shaba, kwanini jamaa wanapenda sana hukumu za vifo??
Nitumie link ya huo Uzi Mnama
 
Broswer ilishanidhinda siku mingi Wacha tu niteseke no option
Daah...! Uko kama mimi tu. Unakuta baadhi ya picha zinafunguka,zingine zinagoma na bahati mbaya mimi mwenyewe naendelea kuvumilia tu,itakayokubali sawa,ikigoma sawa. Browser pia mimi imenishinda. Nilijua niko peke yangu. Kumbe ni kilo cha wengi. Sijajua kwa nini JF wanarudi nyuma badala kwenda na wakati?. Siku hizi wamekuwa kama ccm tu
 
Mkuu mc Tobby, wewe ni 'story teller' wa kiwango cha juu sana, 'congratulations'!

Nimefuatilia 'story' hii mwanzo mwisho, kwa kweli ilikuwa inasisimua sana, ni kama vile mtu unakuwa unaangalia 'movie'! [emoji120][emoji106]

Chukua maua yako Boss!
Yah..ndio maana nawashangaaga watu wanaosema eti "wenye akili zao wanaacha kutumia jf kwakua kina utoto mwingi siki hiz".... ler them goo Vyuma hiv hapa vinakuja ... wale ma god father wa simuliz humu tutawa replace mmoja baada ya mwingine....
 
Daah...! Uko kama mimi tu. Unakuta baadhi ya picha zinafunguka,zingine zinagoma na bahati mbaya mimi mwenyewe naendelea kuvumilia tu,itakayokubali sawa,ikigoma sawa. Browser pia mimi imenishinda. Nilijua niko peke yangu. Kumbe ni kilo cha wengi. Sijajua kwa nini JF wanarudi nyuma badala kwenda na wakati?. Siku hizi wamekuwa kama ccm tu
Mimi browser kwangu ndio mpango mzima..sijawahig kutumia App ya JF mimi..

Imawezekana labda kwasababu sis wengine ni internet addicts...i browse alot of stuffs and visits so many web pages a day...
 
Maisha ya ujasusi Ni full kujistukia kama unasakwa hivi. Halafu kifo nje nje. Ni maisha ya mashaka mashaka tena muda wote wa maisha yako. Hata kama umestaafu hiyo kazi bado unaweza ukawa huna ule Uhuru halisi wa kuamua ukitakacho na muda mwingine kutafutwa kuuawa ksbb unajua siri nyingi za nchi.
Mfano hata kuamua kusafiri,unaweza kufuatliwa au hata kukataliwa kusafiri kwenda nchi fulani. Hata kama umestafu bado huna uhuru
Maisha ya kijinga sana ..zile kazi hafanyi mtu mwenye dhamiri yenye utulivu.Kaz zile ni za watu wenye kasoro fulan fulan kwenye maisha japo kwa nje wanaonekana kamili kwa nje..insecure people....ni kaz za kijinga sana japo zinawafanya wao wajione kama watu speciali .

All in all they pay high price to keep us safe.Wana sucrifice alot...
They deserve our respects. Ila sio kaz nzuri kabisaa
 
Kwa mujibu wa hii story ya Oleg ,ni kwamba Hizi taasisi naona zinakuchagua wewe ujiunge nao, na sio wewe unachagua na kuamua kujiunga nao[emoji28] .
 
Inawezekana huu uzi ndio umekwisha, shukrani kubwa kwa mleta mada kwa jinsi alivyojitahidi kuleta episodes mfululizo hadi kuleta raha kufatilia.

My take kuhusu huu uzi, kwa njia moja ama nyingine mimi au wewe msomaji unaweza kuingia mazingira ya watu fulani, kampuni ficho za kijasusi kukutumia kwa fedha kuuza taarifa nyeti za nchi kutoka na wadhifa wako. Usidhubutu kutoa ushirikiano hata chembe, usaliti kwa ardhi uliyotwaliwa ni laana kwako na kizazi chako lakini ikitokea idara za usalama zikaja kushtuka utalipia gharama kubwa wewe na familia yako yote.

Ni vizuri kubakia na somo hili maana hii habari ya Oleg imempa ushujaa na pengine kuishi kama executive citizen wa UK na kuleta ushawishi wa kuwa double agent [emoji23] lakini pengine hatujafikiria kiwango cha damage aliyofanya kwa Taifa lake hadi leo. Oleg kusaidia kuepusha vita ya nyuklia inawezekana ni kachumbari tu ila hiyo vita iliepukwa na mambo mengi wakati ule.

Nimeona niangalie kwa jicho tofauti hasa somo nyuma hii stori.
U sound like a member from TISS!!!
 
Daah...! Uko kama mimi tu. Unakuta baadhi ya picha zinafunguka,zingine zinagoma na bahati mbaya mimi mwenyewe naendelea kuvumilia tu,itakayokubali sawa,ikigoma sawa. Browser pia mimi imenishinda. Nilijua niko peke yangu. Kumbe ni kilo cha wengi. Sijajua kwa nini JF wanarudi nyuma badala kwenda na wakati?. Siku hizi wamekuwa kama ccm tu
Mimi Hadi nimeshazoea huu ujinga wa JF wa picha kutokufunga hamna namna hyo broswer hata sifungui, ila JF wanasikitisha badala waturahisishie users wao wanawake ugumu Yani app ya 2013 ilikuwa nzuri na Bora kuliko hii ya Sasa ambayo technology imekuwa. JF washarogwa si Bure au wameridhika na walipofika
 
Na sisi huku vipenyo si ndio mboga za majani Ina make sense Sasa utampaje mtu nafasi anayeamini ideology nyingine atakuwa msaliti. I think hata uko USA Wana namna Yao ya ku recruit nadhani sifa mojawapo ni uzalendo
Shida ya huku kwetu kwa miaka ya kuanzia 1990s, ni recruitment ya yuvisisiemu kuwafanya tiiis kwa ajili ya kukipigania chama badala ya kuipigania nchi.
 
Hapo pa maamuzi ya mwisho kutokuwa nayo ndio useless ulipo na work done kuwa zero especially Kwa Dunia ya Sasa ya watu waliowekeza kwenye ujasusi wa kiuchumi huku kwetu mambo madogo hata ya rushwa yatushinda, na nikisoma hii story na Niki reflect kikwetu tutakuwa tuko uchi hasa Kwa wapenda feza kuwa double agent walla
Tuna double agents wengi sana kwetu kulivyo tunavyoweza kudhania.
Recruitment yetu kwa sasa,ndiyo inapelekea hilo.
 
Hapa bongo kwa upande wa jeshi la ulinzi vyuo vyao vya mafunzo baadhi vinafahamika mfano chuo cha ulinzi na usalama pale Kunduchi..pia chuo cha maafisa pale Monduli na makambi ya mafunzo ya kijeshi kama pale Bagamoyo na kadhalika.

Jeshi la polisi pia baadhi vinafamika mfano CCP moshi pale..pia nishakutana na chaka la polisi lililojificha kule milimani Kidatu kwenye uzalishaji wa Umeme watu wanakula trainning huko n.k n.k

SWALI:
Vipi kuhusu vyuo vya usala wa taifa yaan tiss hata bongo hawa watu wanakula trainings wapi?? Au wao ni kwenda nje tuu???
Vipo,"classified".
 
Back
Top Bottom