Tarehe 20.04.2025 Simba akimfunga Stollenbosch goli 3-0 nipigwe ban Miaka 3

Hizo goli anaenda kuzifunga elie mpanzu peke yake tena kipindi cha kwanza full time simba 5-0stellenbosch *****
 
Simba atashinda 1 home and away..Aggregate 2-0. Hizo goli 3 pale Lupaso labda uweke ahadi ya kupakuliwa
 
Simba atashinda 1 home and away..Aggregate 2-0. Hizo goli 3 pale Lupaso labda uweke ahadi ya kupakuliwa
Nyinyi wote mnawaza ungese tu ndio maana ya kinyume nyume Fc
 
Wewe ni shoga, siyo bure.
 
Jiandae na ban ya miaka mitatu na tutamkumbusha moderator.

Wanaweza kushushiwa mvua ya magoli ukaaibika ndugu maana Simba ukiingia kwenye mfumo tu kwishaaa.
 
Mmeanza uchawi, tulieni
 
Hizi ahadi zenu za kiduanzi hizi zitakuja kuwaponza! Pamoja na kwamba hayana washambualiaji wa kueleweka yanawe?a kutumia tule tuzee tufupi yakafunga!
 
We binti shida yako una ID nyingi ndo maana unajiamini.

Duh, mabinti wa humu bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…