Ngwanashigi Gagaga
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 434
- 302
Natanguliza pole kwako kwa kuwa umechagua fungu la kukkosa! Tano tena kwa JPM, CCM Oyeee, shangila ushindi unakuja!JPM labda awe Rais wa Chato!!
Tundu Antiphas Lissu ndo Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025
Mkoa wa Pwani tuna viwanda vingi tu vya Nondo, mabati, vigao, kuchakata vyakula nk, wewe endelea kuongerea vyerehani!Viwanda gani ???? Hivi vya chereani 10?????
Kwa maendeleo ya kweli ya watanzania, uhuru wa kweli na haki kweli, lazima tumchague Tundu Antiphas Lissu kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania hapo kesho.
Labda nikupe Polee wewe maana huyo Magu wako hata akilazimisha kushinda jiandae tu kumsindikiza ICC maana hachomoi sasaivi!Natanguliza pole kwako kwa kuwa umechagua fungu la kukkosa! Tano tena kwa JPM, CCM Oyeee, shangila ushindi unakuja!
Viwanda vimejengwa lini??Mkoa wa Pwani tuna viwanda vingi tu vya Nondo, mabati, vigao, kuchakata vyakula nk, wewe endelea kuongerea vyerehani!
Aliyezima mitandao ya kijamii leoHovyoooooooo, pumbvuuuuuu
Nyakati mbalimbali wakati wa awamu ya tano na kabla.Viwanda vimejengwa lini??
Mbona wewe uko kwenye mtandao sasa hivi?!Aliyezima mitandao ya kijamii leo
Vitaje hata 10 tu vilivyojengwa kwenye awamu ya tanoNyakati mbalimbali wakati wa awamu ya tano na kabla.
Hata nikitaja hutaviona kama hata meli mpya ya kwenda Bukoba hujaiona!Vitaje hata 10 tu vilivyojengwa kwenye awamu ya tano
Denning vipi, mbona unauchungu sana na JPM , ni janga lili lilikupitia, cheti feki, ufisadi, kutumbuliwa, kuhodhi ardhi?! Pole.Vitaje hata 10 tu vilivyojengwa kwenye awamu ya tano
maendeleo ya kweli ndio yapi hayo yasiyokuwa na ufafanuzi? ni mpumbav tu ndio anaweza kuamini kuwa ujenzi na ufufuaji wa usafiri wa reli,ujenzi wa barabara,madaraja,bwawa la umeme,maji,hospitali,zahanati, n.k ni maendeleo ya vitu hivyo watz hawahitaji.Viwanda gani ???? Hivi vya chereani 10?????
Kwa maendeleo ya kweli ya watanzania, uhuru wa kweli na haki kweli, lazima tumchague Tundu Antiphas Lissu kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania hapo kesho.
wacha kujitia upofu ewe kijana wa kitanzania,ndio kusema hujui kuwa ukoloni mambo leo upo na unafanyakazi vizuri tu kwenye mataifa mengi ya Africa na kuharibu siasa na ustawi wa maendeleo ya waafrica?Mawakala wa Mabeberu ni kina nani??? Embu fafanua??
wacha kujitia upofu ewe kijana wa kitanzania,ndio kusema hujui kuwa ukoloni mambo leo upo na unafanyakazi vizuri tu kwenye mataifa mengi ya Africa na kuharibu siasa na ustawi wa maendeleo ya waafrica?
siasa hizi tulizoea kuziona kwenye mataifa ya wenzetu lkn sasa zimeisha ingia na hapa kwetu,
na uchaguzi wa kesho unaenda kuwaumbua vibaya.
Mbona wewe uko kwenye mtandao sasa hivi?!
Am sure shida itakuwa hapacheti feki
Acha kukimbia swali nitajie viwanda 10 tu vilivyojengwa kwenye awamu ya TanoHata nikitaja hutaviona kama hata meli mpya ya kwenda Bukoba hujaiona!
Denning vipi, mbona unauchungu sana na JPM , ni janga lili lilikupitia, cheti feki, ufisadi, kutumbuliwa, kuhodhi ardhi?! Pole.
Mie ni mwanasheria nguli niliye na kazi Nzuri sanaAm sure shida itakuwa hapa
Kama kawaida ya kila mwanachademaMie ni mwanasheria nguli niliye na kazi Nzuri sana