Amen,Mungu wa Haki atampitisha kuikomboa Tanzania dhidi ya watesi wetu.Hatimaye tumebakisha siku moja na masaa kadhaa.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Tundu Antiphas Lissu. Mjaalie awe Raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen,Mungu wa Haki atampitisha kuikomboa Tanzania dhidi ya watesi wetu.Hatimaye tumebakisha siku moja na masaa kadhaa.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Tundu Antiphas Lissu. Mjaalie awe Raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2025
Wamepungua sana. Tupige kura, tulinde kura zetu, tuhakikishe hakuna kuongeza kura kwenye masanduku, tuhakikishe zinajumlishwa sawasawa, na mshindi anatangazwa. Ikiwa si hivyo tutumie nguvu ya umma!Na wajinga ni mashabiki wakubwa wa ccm, sijui itakuwaje sasa
Amina kwa Jina la YesuAmen,Mungu wa Haki atampitisha kuikomboa Tanzania dhidi ya watesi wetu.
Ndugu, hujui kuwa neno haki na uhuru anayohubiri Lissu ni matusi makubwa kwa Ccm?Lissu ana ghadhabu gani?? Embu fafanua??? Sie kama watanzania tulimsikia akiwa kanisani singida akitoa shukrani alisema hatolipa kisasi kamwe kwa yeyote aliyemfanyia mabaya.
Ni matusi gani pia aliyotukana Lissu??? Embu fafanua???
Ni lini Lissu alisema mtoto wake hawezi kusoma shule za Africa??? Alafu kwa mfumo wa Elimu wa a Tanzania unafikiri unawapa elimu bora watoto wa masikini wa Tanzania kwenye karne hii ya sayansi na teknolojia???
Amini nakwambia hakuna mwanajeshi wa kuwapiga risasi watanzania wenzake waliojiandaa kulinda kura ili kumlinda MagufuliWamepungua sana. Tupige kura, tulinde kura zetu, tuhakikishe hakuna kuongeza kura kwenye masanduku, tuhakikishe zinajumlishwa sawasawa, na mshindi anatangazwa. Ikiwa si hivyo tutumie nguvu ya umma!
Kosa kubwa ni kuwa balot papers zimechapishwa na haohao tena humuhumu na ni nyingi mno kuzidi mahitaji ya kawaida. Kwa sasa zinatumika kikamilifu kuhujumu kura.Asante kwa taarifa ndugu, ila fafanua kidogo , Kuna kitu gani unakiona kinaendelea hapo?
Mungu akisema hapana hakuna wa kusema ndiyo. Hata wangetengeneza karatasi milioni 50 amini amini nakwambia Ccm imekataliwa mbinguni na duniani. Hawashindi uchaguzi wa mwaka huu. NeverKosa kubwa ni kuwa balot papers zimechapishwa na haohao tena humuhumu na ni nyingi mno kuzidi mahitaji ya kawaida. Kwa sasa zinatumika kikamilifu kuhujumu kura.
Wewe kajamaa hadi nakuonea huruma umavyojipa matumaini hewa.Hakuna mwaka raisi kuwatoa madarakani kama mwaka huu
Jaribuni kulinda kura muone mtakabyochezea vitasaAmini nakwambia hakuna mwanajeshi wa kuwapiga risasi watanzania wenzake waliojiandaa kulinda kura ili kumlinda Magufuli
Nani anaogopa vitasa??? Tena ivo vitasa ndo vitakuwa alama ya ukombozi wa Tanzania maana hakuna nchi itawaacha mwaka huuJaribuni kulinda kura muone mtakabyochezea vitasa
Mie nakuonea huruma wewe uliyejiaminisha kwenye udhalimu na kufikiri upo salamaWewe kajamaa hadi nakuonea huruma umavyojipa matumaini hewa.
Tulia tarehe 28/10/2020 ifike ndiyo ujue kwanini mtoto hakui kwa baba.Mie nakuonea huruma wewe uliyejiaminisha kwenye udhalimu na kufikiri upo salama
Sawasawa nitakukumbusha jioni watu tukianza kujumuisha matokeoTulia tarehe 28/10/2020 ifike ndiyo ujue kwanini mtoto hakui kwa baba.
Hakika ndipo hapa upinzani utakata roho hiyo siku na Lissu kuachana na ushoga wake kisha aje kupewa talaka rasmi na wazungu wake. Wazungu wanawatumia tu kina Zitto na kibaraka Lissu ipo siku hawa jamaa watakuja kujitambua kiakili.TAREHE 28/10/2020: SIKU YA KUWEKA HISTORIA KUU TANZANIA.
Amani iwe nanyi watu wa Mungu!
Kwa kipindi cha miaka 59 tangu uhuru, Tanzania imekuwa ikiongozwa na Chama cha mapinduzi. Katika miaka hii yote watanzania wamepitia mengi sana ila kila siku maisha ya watanzania yamezidi kuwa ya kuogofya na ya kusikitisha. Umasikini umekuwa donda kuu la watanzania na mbaya zaidi katika kipindi hicho chote, watanzania wamekuwa wakishuhudia wanasiasa wakizidi kujineemisha kwa pesa zao za kodi na mbaya zaidi wamekuwa wakiwafanya watanzania kuwa ombaomba na watumwa kwenye nchi yao.
Tofauti na miaka ya maraisi waliopita ambao pamoja na kujineemisha binafsi ila angalau walijitahidi kuheshimu utu wa mtanzania kwa kumuheshimu na kutomnyanyasa Ila katika kipindi cha miaka 5 watanzania wameshuhudia unyanyasaji mkubwa wa haki zao kutoka kwa watu waliojionesha kwao kuwa watu wazuri kumbe walikuwa chui waliojivika ngozi ya Kondoo!!
Mungu si Athumani alimuokoa mtoto wake Tundu Antiphas Lissu kwenye jaribio la mauaji hapo tarehe 7 mwezi wa 9 mwaka 2017 akiwa amepanga historia kuu iandikwe hapa Tanzania hapo tarehe 28/10/2020. Kwa hiyo ewe mtanzania usikose kuwa sehemu ya historia hii kuu inayoenda kuandikwa hapo tarehe 28/10/2020.
Kwa nini Tarehe 28/10/2020 ni siku ya watanzania kuandika Historia kuu juu ya nchi yao?
1. Kama wewe ni mzazi uliyemsomesha mtoto wako kwa shida hadi akamaliza chuo na hadi leo hajapata ajira, basi tarehe 28/10/2020 nenda kapige kura kuonesha kuwa CCM haistahili kabisa kuendelea kutawala nchi hii kwa sababu mfumo wao na sera zao umefanya mwanao akose ajira. Tarehe hiyo mchague Tundu Antiphas Lissu kuweka historia mpya Tanzania.
2. Kama wewe ni mtanzania uliyefanya kazi katika maisha yako ili uje kuishi vizuri, ila CCM wamefilisi mifuko ya pensheni na kufanya upate pensheni kidogo na kuishi kwa tabu, basi Tarehe 28/10/2020 nenda kaandike historia mpya kwa kuiadhibu CCM na kumchagua Tundu Antiphas Lissu
3. Kama wewe ni kijana uliyesoma kwa shida huku ukiingia mkataba na serikali wa kukukata asilimia 6 mpaka 7 ya mshahara ukipata ajira, ila CCM ya awamu ya tano imekufanya ukatwe asilimia 15 basi nenda kaandike historia tarehe 28/10/2020 kwa kuikataa na kuiadhibu CCM na kumchagua Tundu Antiphas Lissu.
4. Kama Wewe ni Mtanzania ambaye gharama za matibabu zimekuwa kubwa na umekuwa ukipata shida ya gharama za matibabu kwa miaka yote basi tarehe 28/10/2020 nenda kaiadhibu CCM kwa kuinyima kura na uandike historia kwa kumchagua Tundu Antiphas Lissu!
5. Kama Wewe ni mfanyakazi ambaye kwa miaka 5 hukupata haki yako ya kuongezwa mshahara na mwaka huu umeona bima ya afya ikiondoa baadhi ya dawa kwenye mfumo wa bima huku gharama ya maisha ikizidi kupanda basi kaandike historia kuu tarehe 28/10/2020 kwa kuinyima kura CCM na kumchagua Tundu Antiphas Lissu
6. Kama wewe ni mzazi uliyepata shida kumsomesha mtoto wako private na amefika chuo amenyimwa mkopo kwa kusomeshwa private elimu ya chini basi tarehe 28/10/2020 kaandike historia Kuu kwa kuwanyima kura CCM na kumchagua Tundu Antiphas Lissu
7. Kama wewe ulikuwa mfanyakazi uliyeajiliwa sehemu ila Sera za Awamu ya tano ya CCM zikafanya upoteze ajira yako kwa kampuni kufirisika basi tarehe 28/10/2020 kaandike historia kuu kwa kuwanyima kura CCM na kumchagua Tundu Antiphas Lissu
8. Kama wewe ni mfanyabiashara uliyeangaika kupata mtaji ikiwemo kukopa, ila kodi za tra na mnyanyaso ya tra yamekufanya ufunge biashara au ufirisike basi tarehe 28/10/2020 Kawe sehemu ya historia kuu kwa kuwanyima kura CCM na kumchagua Tundu Antiphas Lissu
9. Kama Wewe ni mkulima uliyekuwa ukiuza mazao yako vizuri bila shida ila sera za Chama cha mapinduzi zikakupiga marufuku kuuza mazao nje na kupelekea ukafirisika na kupata hasara basi Kawe sehemu ya historia kuu hapo tarehe 28/10/2020 kwa kuwanyima kura CCM na kumpa kura Tundu Antiphas Lissu.
10. Kama wewe ni kijana ambayo umekuwa ukihangaika bila ajira kwa sababu ya sera mbovu za kiuchumi za Chama cha mapinduzi basi tarehe 28/10/2020 kaandike historia kuu katika nchi yetu kwa kuwanyima kura CCM na kumchagua Tundu Antiphas Lissu.
Ewe mtanzania, kumbuka sehemu pekee ya wewe kueleza hisia zako juu ya mwanasiasa yeyote au Sera zozote zinazokuathili kimaisha na kiuchumi ni kwenye Sanduku la Kura. Hivyo Tarehe 28/10/2020 nenda Kawe sehemu ya Historia kuu inayoenda kuandikwa ya kuweka utawala mpya hapa Tanzania kwa maslahi mapana ya nchi yetu na watu wake
Ukipiga kura, usiache kulinda kura maana kura yako ina thamani sana
Share na mwenzako!
TAREHE 28/10/2020: SIKU YA KUWEKA HISTORIA KUU TANZANIA.

Una kiwango gani cha elimu?Hakika ndipo hapa upinzani utakata roho hiyo siku na Lissu kuachana na ushoga wake kisha aje kupewa talaka rasmi na wazungu wake. Wazungu wanawatumia tu kina Zitto na kibaraka Lissu ipo siku hawa jamaa watakuja kujitambua kiakili.
Uchwara kivipi?? Kuna jambo lolote hapo la uongo au unajitoa ufahamu tu?Kampeini uchwara. Hatudanganyiki ni JPM tu kwa kwenda mbele