Uchaguzi 2020 Tarehe 28/10/2020: Siku ya kuweka Historia kuu Tanzania

Hatimaye tumebakisha siku moja na masaa kadhaa.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Tundu Antiphas Lissu. Mjaalie awe Raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2025
Amen,Mungu wa Haki atampitisha kuikomboa Tanzania dhidi ya watesi wetu.
 
Na wajinga ni mashabiki wakubwa wa ccm, sijui itakuwaje sasa
Wamepungua sana. Tupige kura, tulinde kura zetu, tuhakikishe hakuna kuongeza kura kwenye masanduku, tuhakikishe zinajumlishwa sawasawa, na mshindi anatangazwa. Ikiwa si hivyo tutumie nguvu ya umma!
 
Ndugu, hujui kuwa neno haki na uhuru anayohubiri Lissu ni matusi makubwa kwa Ccm?
 
Wamepungua sana. Tupige kura, tulinde kura zetu, tuhakikishe hakuna kuongeza kura kwenye masanduku, tuhakikishe zinajumlishwa sawasawa, na mshindi anatangazwa. Ikiwa si hivyo tutumie nguvu ya umma!
Amini nakwambia hakuna mwanajeshi wa kuwapiga risasi watanzania wenzake waliojiandaa kulinda kura ili kumlinda Magufuli
 
Asante kwa taarifa ndugu, ila fafanua kidogo , Kuna kitu gani unakiona kinaendelea hapo?
Kosa kubwa ni kuwa balot papers zimechapishwa na haohao tena humuhumu na ni nyingi mno kuzidi mahitaji ya kawaida. Kwa sasa zinatumika kikamilifu kuhujumu kura.
 
Kosa kubwa ni kuwa balot papers zimechapishwa na haohao tena humuhumu na ni nyingi mno kuzidi mahitaji ya kawaida. Kwa sasa zinatumika kikamilifu kuhujumu kura.
Mungu akisema hapana hakuna wa kusema ndiyo. Hata wangetengeneza karatasi milioni 50 amini amini nakwambia Ccm imekataliwa mbinguni na duniani. Hawashindi uchaguzi wa mwaka huu. Never
 
Ujumbe Muruwaa kutoka kwa Vijana wa ActWazalendo.

Hakika ndipo hapa upinzani utakata roho hiyo siku na Lissu kuachana na ushoga wake kisha aje kupewa talaka rasmi na wazungu wake. Wazungu wanawatumia tu kina Zitto na kibaraka Lissu ipo siku hawa jamaa watakuja kujitambua kiakili.
 
Kampeini uchwara. Hatudanganyiki ni JPM tu kwa kwenda mbele
 
Hakika ndipo hapa upinzani utakata roho hiyo siku na Lissu kuachana na ushoga wake kisha aje kupewa talaka rasmi na wazungu wake. Wazungu wanawatumia tu kina Zitto na kibaraka Lissu ipo siku hawa jamaa watakuja kujitambua kiakili.
Una kiwango gani cha elimu?
 
😢😢😢 Nafikiria MITANO TENA halafu vile namna vyuma vitatunyonga tukufe dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…