Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
- #61
Kura ni siri yako!Unapigia kituo gani nijekuhakiki kura yako?
Kura ni siri yako!Unapigia kituo gani nijekuhakiki kura yako?
Kweli kabisa, miaka ya Mwalimu jina lilikjwa moja la urais, na lilikuwa la Mwalimu.Zamani kulikuwa na ndio na hapana, sasa tunawekewa ndio zote, sasa hapo hatuna fursa ya kuchagua
Hilo ni kupuuza wajibu wako kikatiba!SIENDI
Nipoo tele my dearTayana upo?
Umeadimika kipenzi changu 😍
Licha kuwa wengi ikiwa kuna Vyama au watu wote wa namnà moja inawanyima fursa wengine, wange ongeza wote hawafai . Maana Vyama vimeingiliwa na mamluki na kuondoa hiyo dhana ya wagombea wengi.Kweli kabisa, miaka ya Mwalimu jina lilikjwa moja la urais, na lilikuwa la Mwalimu.
Ilikuwa unaweka ndiyo au hapana.
Leo wagombea urais ni wengi, unaweka unayemuona anafaa!
Katiba ya kuteka watu?Hilo ni kupuuza wajibu wako kikatiba!
Bwege sana jitu zimaa unaposti pumbaWatanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima, ila si wajinga.
Uchaguzi ni mara moja kila miaka mitano, na ni haki ya kikatiba kila mtu kuchagua ampendaye kukalia kiti cha urais, ubunge au udiwani.
Watanzania tusipoteze nafasi hii, ya kikatiba.
Watu wasio waelewa wanasema siku hiyo ni maandamano. Hawawaelwi watanzania, si watu wa kutekwa na matukio yasiyo na tija.
Vile vile si vyema vyombo vya dola kutoa vitisho vya aina yoyote siku hiyo, watu wana amani na wasisitize kutakuwa shwari tu.
Kama mwananchi, timiza haki yako kwa kupiga kura na kwenda nyumbani
Pumba mkubwa zaidi ni yule asiyejua baada ya kunya atafanya nini?Bwege sana jitu zimaa unaposti pumba
Mkuu mbona hilo liko wazi.Mjuba soma ramani ya uchaguzi ujue ni kina nani hasa watapiga kura ni wanachama wa ccm wataenda kujaza kura kwa wagombea wao. Ushindi tayari ni wa ccm, angalia hata kampeni uone picha. CHADEMA haishiriki, unadhani wanachama wake wataenda kupiga kura kumchagua nani? Vile vyama vinavyoshiriki itakuwa ni maajabu wagombea wake kushinda mbele ya ccm maana hakuna dalili ya kupata ushindi, vimejiingiza kwenye uchaguzi uliokataliwa ili kuisindikiza ccm itangazwe vema imeshinda uchaguzi kwa kishindo. We mjuba vipi, hili nalo linahitaji elimu kubwa kutambua ushindi wa ccm? Umesema watanzania wanapenda amani, basi jua wengi wao hawataenda kupiga kura, wataenda kwenye shughuli zao kwani wanajua mshindi tayari ni nani kutokana mambo ya siasa yanayojiri. Huu ni uchaguzi wa ccm na vyama vyake shikizi usibishe wakati hali ndiyo ilivyo!
Je vipi kama nikapiga usingizi wakutosha siku hiyo?Watanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima, ila si wajinga.
Uchaguzi ni mara moja kila miaka mitano, na ni haki ya kikatiba kila mtu kuchagua ampendaye kukalia kiti cha urais, ubunge au udiwani.
Watanzania tusipoteze nafasi hii, ya kikatiba.
Watu wasio waelewa wanasema siku hiyo ni maandamano. Hawawaelwi watanzania, si watu wa kutekwa na matukio yasiyo na tija.
Vile vile si vyema vyombo vya dola kutoa vitisho vya aina yoyote siku hiyo, watu wana amani na wasisitize kutakuwa shwari tu.
Kama mwananchi, timiza haki yako kwa kupiga kura na kwenda nyumbani
Halafu kiongozi usiyempenda akapata nafasi, utamlaumu mzee usingizi?Je vipi kama nikapiga usingizi wakutosha siku hiyo?
Ndio kijani hao akili zao wanakula hawajui watafanya nnPumba mkubwa zaidi ni yule asiyejua baada ya kunya atafanya nini?
Watanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima, ila si wajinga.
Uchaguzi ni mara moja kila miaka mitano, na ni haki ya kikatiba kila mtu kuchagua ampendaye kukalia kiti cha urais, ubunge au udiwani.
Watanzania tusipoteze nafasi hii, ya kikatiba.
Watu wasio waelewa wanasema siku hiyo ni maandamano. Hawawaelwi watanzania, si watu wa kutekwa na matukio yasiyo na tija.
Vile vile si vyema vyombo vya dola kutoa vitisho vya aina yoyote siku hiyo, watu wana amani na wasisitize kutakuwa shwari tu.
Kama mwananchi, timiza haki yako kwa kupiga kura na kwenda nyumbani
sasa tufanyaje mjuba Nzugile?Mkuu mbona hilo liko wazi.
Ni mtu mjinga tu asiyejua kuwa kwa every action, there is an equal and opposite reaction.
Watu wenye jazba na kukosa uvumilivu huwa hawawezi kujipanga ndani ya mifumo.
Ukipiga kura tena kwa wingi, kupinga yale usiyo amini, si utakuwa umeitumia kura yako kikatiba tena kama mwananchi mtiifu anavyotakiwa awe, na kwa amani.
Nchi masikini kama Malawi, mbona tunakuwa na vichwa vigumu kuelewa somo hilo?
Matako yakoWatanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima,
Toa basi, maoni ya matako yako!Matako yako