Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
- #81
Zoezi la kura na uchaguzi wa Malawi watu hawauelewi kabisa.sasa tufanyaje mjuba Nzugile?
Zoezi la kura na uchaguzi wa Malawi watu hawauelewi kabisa.sasa tufanyaje mjuba Nzugile?
Haki gani iyooUsitupangie cha kufanya hiyo siku. Katimize haki yako ya kikatiba katulie kwako mengine tuachie wenyewe
Kupiga kura kwa amani na kuondoka kwa mujibu wa katiba iliyoko ni sawa. Hili limekuwa linafanyika.Mkuu mbona hilo liko wazi.
Ni mtu mjinga tu asiyejua kuwa kwa every action, there is an equal and opposite reaction.
Watu wenye jazba na kukosa uvumilivu huwa hawawezi kujipanga ndani ya mifumo.
Ukipiga kura tena kwa wingi, kupinga yale usiyo amini, si utakuwa umeitumia kura yako kikatiba tena kama mwananchi mtiifu anavyotakiwa awe, na kwa amani.
Nchi masikini kama Malawi, mbona tunakuwa na vichwa vigumu kuelewa somo hilo?
😂😂😂afu usikute wew ndio mume wa dadangu 😖😖Mkuu uakuwa emotional na kutotumia akili ulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu.
Sasa jiulize kwa nini usitumie hako yako ya kimsingi na kikatiba kubadili hali hiyo unayokupa mchecheto.
Hakuna anayependa utekaji, mauaji aumambo kama hayo.
Hata wazee wetu kina Butiku na Warioba wamelaani hali hiyo.
Cha maana tumia kura yako kueleza kutoridhishwa na hali hiyo.
Nakubaliana 100%Kupiga kura kwa amani na kuondoka kwa mujibu wa katiba iliyoko ni sawa. Hili limekuwa linafanyika.
Tatizo lipo kwenye kipengele cha matokeo ya kura.
-Wizi wa kura na uhujumu wa chaguzi mambo ambayo yamekuwa yanatoa viongozi ambao kiuhalisia sio chaguo la wananchi, yamefanya watu wachoke kufanya hayo uliyoshauri hapo juu..
Kwa sasa watu WANATAKA haki yao, kipindi walipokuwa wanadai hiyo haki hakikutumiwa vizuri na watawala.
Nikuhakikishie, wasipoipata kwa wakati huu wakati ujao itakuwa mbaya zaidi.
Arooo usinikamatishe ugoni at high places!😂😂😂afu usikute wew ndio mume wa dadangu 😖😖
🙂🙂Pamoja sana mkuu..!View attachment 3480672
Hongereni wana JF kwa kunipa dislikes nyingi.
Lakini vile vile hilo linaeleza jinsi civics illiteracy ilivyoshamiri, hata uwanja huu wa Great Thinkers.
Watu wanashindwa kufikiri three steps ahead.
Title yako inasema piga kura yako mapema uende nyumbani. Umeshindwa kabisa kungamua kwamba Tanzania sasa hivi inapitia changamoto kubwa kuliko hiki kiini macho kinachoitwa uchaguzi, ni changamoto kubwa kuliko wakati wowote.View attachment 3480672
Hongereni wana JF kwa kunipa dislikes nyingi.
Lakini vile vile hilo linaeleza jinsi civics illiteracy ilivyoshamiri, hata uwanja huu wa Great Thinkers.
Watu wanashindwa kufikiri three steps ahead.
Kasema kupiga kura ni "haki yake". Ndio namwambia akaitimize hiyo haki yakeHaki gani iyoo
Kwa tume ipi ya uchaguzi?Mkuu kupiga kura ni pamoja na kurekebisha makosa yaliyptokea kwa kuonyesha kikatiba unayemchagua.
Watanzania lazima tuwe na civics literacy!
Karatasi la kura lina choice nyingi, kwamba unayempenda hayupo si mwisho wa zoezi.Jidu La Mabambasi unampigia nani anayeshindana na nani?
Unakipigia chama gani kinachopingana na kipi?
Tunaomba ufafanuzi.
Is it true kwamba kuna watu hawaoni kwamba hapa hakuna uchaguzi? Mtoto wa darasa la tatu anaweza kuona kinachoendelea inakuwaje mtu mzima asione?
Mkuu hata wewe?..kura wakapige wagombea, mawakala, na wasimamizi. Wengine wote wapumzike, au wafanye shughuli za kujiongezea kipato.
Mkuu hata wewe?