Tarehe 29 Oktoba, piga kura yako mapema na nenda nyumbani

Zamani kulikuwa na ndio na hapana, sasa tunawekewa ndio zote, sasa hapo hatuna fursa ya kuchagua
Kweli kabisa, miaka ya Mwalimu jina lilikjwa moja la urais, na lilikuwa la Mwalimu.
Ilikuwa unaweka ndiyo au hapana.
Leo wagombea urais ni wengi, unaweka unayemuona anafaa!
 
Kweli kabisa, miaka ya Mwalimu jina lilikjwa moja la urais, na lilikuwa la Mwalimu.
Ilikuwa unaweka ndiyo au hapana.
Leo wagombea urais ni wengi, unaweka unayemuona anafaa!
Licha kuwa wengi ikiwa kuna Vyama au watu wote wa namnà moja inawanyima fursa wengine, wange ongeza wote hawafai . Maana Vyama vimeingiliwa na mamluki na kuondoa hiyo dhana ya wagombea wengi.
 
Bwege sana jitu zimaa unaposti pumba
 
Mjuba soma ramani ya uchaguzi ujue ni kina nani hasa watapiga kura ni wanachama wa ccm wataenda kujaza kura kwa wagombea wao. Ushindi tayari ni wa ccm, angalia hata kampeni uone picha. CHADEMA haishiriki, unadhani wanachama wake wataenda kupiga kura kumchagua nani? Vile vyama vinavyoshiriki itakuwa ni maajabu wagombea wake kushinda mbele ya ccm maana hakuna dalili ya kupata ushindi, vimejiingiza kwenye uchaguzi uliokataliwa ili kuisindikiza ccm itangazwe vema imeshinda uchaguzi kwa kishindo. We mjuba vipi, hili nalo linahitaji elimu kubwa kutambua ushindi wa ccm? Umesema watanzania wanapenda amani, basi jua wengi wao hawataenda kupiga kura, wataenda kwenye shughuli zao kwani wanajua mshindi tayari ni nani kutokana mambo ya siasa yanayojiri. Huu ni uchaguzi wa ccm na vyama vyake shikizi usibishe wakati hali ndiyo ilivyo!
 
Mkuu mbona hilo liko wazi.
Ni mtu mjinga tu asiyejua kuwa kwa every action, there is an equal and opposite reaction.

Watu wenye jazba na kukosa uvumilivu huwa hawawezi kujipanga ndani ya mifumo.
Ukipiga kura tena kwa wingi, kupinga yale usiyo amini, si utakuwa umeitumia kura yako kikatiba tena kama mwananchi mtiifu anavyotakiwa awe, na kwa amani.
Nchi masikini kama Malawi, mbona tunakuwa na vichwa vigumu kuelewa somo hilo?
 
Je vipi kama nikapiga usingizi wakutosha siku hiyo?
 
 

Attachments

  • 2025-09-23-185249930.mp4
    3.4 MB
sasa tufanyaje mjuba Nzugile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…