Tarehe kama ya leo Yanga SC iligomea mchezo, kwa madai Simba SC kuvaa viatu vya mpira

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nzuri hii Baba Tecno yaani kesho asubuhi Chap nakwenda aiseee ili niliweke sawa koo kwa ajili ya jioni.

Wataipata pata[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Nasema hivi simba kesho watapata tabu sanaaa.

Kama nawaona vile mashabiki wa simba wanavyoipamba timu yao ya simba lakini icheki ilivyo sasa.
 
Binamu simba ni team ya vibaraka toka enzi, kwa miaka hiyo Mtanganyika hakuna na uwezo wa kununua viatu

Ha ha ha...toa neno vibaraka ubaki na hiyo kuwa Sunderland walikuwa na uwezo kununua viatu.

Usizime data J2..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hukawiagi kupotea lakini Mtani tukabaki wenyewe.
Ukiona kimya ni mambo mengine. Ila nitakuwepo.

Ngariba haogopi mkojo...! Kuna MK 14[emoji91][emoji91]
 
Utawala wa Nyerere Yanga tulimpiga 6
Utawala wa Mwinyi 4
Utawala wa Mkapa 4
Utawala wa JK 5
Utawala wa JPM inabidi apigwe hata 4 tu ili tusubiri utawala wa mwingine
 
Ni....FlashBackFriday kuelekea mtanange wa watani wa jadi. Unajua kama hujui unakotoka huwezi kujua unakokwenda.
Halafu leo ni Saturday sio Friday hivyo rekebisha hiyo flashback yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…