Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Nasema hivi simba kesho watapata tabu sanaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nzuri hii Baba Tecno yaani kesho asubuhi Chap nakwenda aiseee ili niliweke sawa koo kwa ajili ya jioni.
Wataipata pata[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Kama nawaona vile mashabiki wa simba wanavyoipamba timu yao ya simba lakini icheki ilivyo sasa.