Tarehe kama ya leo Yanga SC iligomea mchezo, kwa madai Simba SC kuvaa viatu vya mpira

Hahaha, au mna wale funza wanaoshambulia vidole vya miguu? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Samahani lakini nauliza tu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ swali hili ungeniuliza miaka hiyo bana. Leo halina faida tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…