Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Hivi uchokozi umeanza lini lakini? 😜😜😜[emoji23][emoji16]lakini hebu tuambie kwanini mnaogopa viatu
Hahaaaa. Hilo hawalisemi.Halafu historia inaonyesha wao ndio walikimbia uwanjani!
Hahaaaa. Hilo hawalisemi.
Hahahaaa. Naomba hili swali nikuulize mie bana. 😜😜😜Vipi Hajar nikupige ngapi kesho
😂😂😂😂😂😂 ila Watani zangu mna maneno jamaani lolYanga bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaogopa hadi viatu
Hahaha, au mna wale funza wanaoshambulia vidole vya miguu? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaaa. Hivi uchokozi umeanza lini lakini? [emoji12][emoji12][emoji12]
Tunaogopa wapi viatu jamaani?
Kwangu haigusi shubamit na uchawi waoMkuu kuku mweus watakuroga na hayo makombora. Hivi hujui Jana walisoma Albadri pale Jangwani?
[emoji1][emoji1] nasikia kuna uwezekano mkaanza kupitisha bakuli mwakani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Watani zangu mna maneno jamaani lol
Mkuuu hapa tunaongeleaa gongouchi cyo biashara kuhusu biashara niulize sehemu husikaVipi Biashara imefikia wapi?naona mshafika bei na Mikia kuuza match yenu Taifa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] watapata tabu sana keshoYanga bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaogopa hadi viatu
Wanatamani mechi iahirishwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] watapata tabu sana kesho
Haa ha ha ha ha ha. Mtageuza sana historia, lakini ukweli upo pale paleNaona simba mnajifariji kwa uongo[emoji23][emoji23]View attachment 881538
😂😂😂😂 swali hili ungeniuliza miaka hiyo bana. Leo halina faida tena.Hahaha, au mna wale funza wanaoshambulia vidole vya miguu? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Samahani lakini nauliza tu
Naona simba mnajifariji kwa uongo[emoji23][emoji23]View attachment 881538
Jamaaa kahamisha goliHaa ha ha ha ha ha. Mtageuza sana historia, lakini ukweli upo pale pale
ThisIsSimba
Hahaaa. Kwa kuwa halina madhara tunapitisha tu.[emoji1][emoji1] nasikia kuna uwezekano mkaanza kupitisha bakuli mwakani
Wakatae na hii. 😂😂😂😂Naona simba mnajifariji kwa uongo[emoji23][emoji23]View attachment 881538