Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

Mkuu mimi ni 08/10/1992 please tafadhali nifafanule nami nipate kujua
 
Mzunguko wa maisha namba 3 unakuaje ndugu tafadhali nisaidie
 
Ambao ni?tafadhali nidadavulie japo kidogo
Kitovu cha Mzunguko wa Maisha namba 3 ni kuonyesha furaha ya maisha, ni rahisi kukubalika na wengine endapo utakuwa muwazi na mchangamfu na mwenye furaha. Mwenye mzunguko huu lazima awe makini katika kuendeleza uwezo wake wa kimaono na kisanaa.
Kwa maelezo ya kina endelea kufatilia somo
 
Mzunguko wa maisha namba 3 unakuaje ndugu tafadhali nisaidie
Kitovu cha Mzunguko wa Maisha namba 3 ni kuonyesha furaha ya maisha, ni rahisi kukubalika na wengine endapo utakuwa muwazi na mchangamfu na mwenye furaha. Mwenye mzunguko huu lazima awe makini katika kuendeleza uwezo wake wa kimaono na kisanaa.
Kwa maelezo ya kina endelea kufatilia somo
 
Namba sita hii hapa
 
Hapo ndo inakuaje? mkuu nifafanulie kidogo
Mtu mwenye mzunguko huu lazima ajifunze kuyakubali majukumu kwa kuwa Mungu amemjalia uwezo mkubwa wa kusaidia na kufariji wengine pale inapohitajika. Tegemea watu wengi kuja kwako ili kupata msaada na faraja zaidi ya vile unavyofikiri ivyo ni muhimu kuyakubali majukumu na kujifunza namna kusaidia familia, ndugu na marafiki. Ni muhimu kujifunza kujitoa katika urafiki na matendo ya upendo kwa kuwa kile unachopanda ndicho utakachovuna, ni muhimu kutofautisha kati ya kusaidia na kuingilia mambo ya wengine.
Kwa maelezo zaidi endelea kufuatilia uzi
 
Mkuu unaendelea saa ngapi ili tuwe online?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…