Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

Mkuu Mimi nimezaliwa 1/12/1990 naomba ufafanuzi juu ya bandiko lako
 
Sasa fanya mchakato malizia hadi namba tisa.

Special namba ni 11 ambayo sawa na 2 na 22 ambayo sawa na 4

Mfano mtu alie zaliwa tarehe 22-11-1958

NI sawa na 4-2-1958 ambayo matokeo ni special namba 11 ambayo sawa na 2 katika mzunguko wa maisha.
Namba hajawahi kudanganya
 
Mkuu Mimi nimezaliwa 1/12/1990 naomba ufafanuzi juu ya bandiko lako
Namba yako ni 5, kwa ufupi

Mtu mwenye mzunguko wa maisha 5, lazima ajifunze kutumia uhuru wake katika namna chanya ya kujenga na si kubomoa. Maisha yanakuwa na fursa nyingi kwa mtu mwenye mzunguko huu zikiambatana na mabadiliko ya mara kwa mara wakati mwingine bila kutarajiwa. Mtu huyu ana uwezo wa kufanya kazi nyingi kwa ufanisi kutokana na vipaji ambavyo Mungu amemjalia, lakini ni muhimu kuchambua fursa zenye manufaa na kuwekeza nguvu na si kuwekeza nguvu katika kila fursa. Ni lazima kuwa makini ili usipoteze muda katika anasa za kimwili katika vitu kama , chakula, mapenzi, ulevi na madawa ya kulevya.

Kwa maelezo ya kina endelea kufuatilia uzi
 
22/0571992 ebu nipe namba mama hapa
Namba yako ni 3, kwa ufupi

Kitovu cha Mzunguko wa Maisha namba 3 ni kuonyesha furaha ya maisha, ni rahisi kukubalika na wengine endapo utakuwa muwazi na mchangamfu na mwenye furaha. Mwenye mzunguko huu lazima awe makini katika kuendeleza uwezo wake wa kimaono na kisanaa.

Kwa maelezo ya kina endelea kufuatilia uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…