Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

Mie siijui tarehe wala mwaka niliozaliwa.je napataje kutambua mm ni nani?
ni ngumu kwa kuwa uchambuzi wote unaanzia hapo, endelea kufuatilia uzi hadi tukifika katika uchambuzi kwa kutumia jina.
 
Mi nimezaliwa 31/06/1995 vp hapo? Inakuaj
 
Maelezo ya No 7mbona kama hawa watu wanakua wanapata tabu sana njia zao mbona ngum
 
Maelezo ya No 7mbona kama hawa watu wanakua wanapata tabu sana njia zao mbona ngum
Changamoto kubwa kwa mtu mwenye mzunguko huu ni kushindwa kutega muda wa kukaa pekeyake na kutafakari mambo ya kiroho na ivyo kujikuta anakuwa mhanga wa anasa za dunia. Jambo la muhimu ni kuweza kutumia uwezo wake wa kiroho katika kufanikisha mambo yake tofauti.
 
Ok ,thanks mkuu bt ko mtu wa No 7 akitulia mambo yanamyokea vizuri kabsa ebu nifafanulie nijipange vzr
 
Waafrika siku tutakayoacha kuamini haya mambo ya ajabu ajabu tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana.
 
Waafrika siku tutakayoacha kuamini haya mambo ya ajabu ajabu tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana.
Ulimwengu una mengi chagua kile kinachokufaa, maarifa mengine yanakimbia katika mawimbi ambayo ubongo wako unashindwa kuchambua
 
Vita inapiganwa ktk uwanja wa vita sio mazoezini. Huku ni kujazana ujinga au imani za kishirikina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…