Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Ila CCM buana wanatufanya hatuna akiliMwenge Chacha Ghati, mkazi wa wilayani Tarime akielezea kushangazwa kwake baada ya kukuta jina la mke wake kwenye daftari la wapiga kura wakati amepotea miaka mitatu iliyopita
View attachment 3134761
Hilo daftari la uchaguzi wa serikali za mitaa watu si wameandikishwa juzi tu hapo? Au huyo mtu aliibuka akaenda kujiandikisha na baadaye kutoweka tena?Sasa anaetakiwa kutoa taarifa za yeye kufutwa ni Tume? Yeye Yuko kwenye daftari alishajiandikisha sasa ndugu zake wanatakiwa wakatoe taarifa afutwe na kama hawajatoa taarifa hawezi futwa! Kufutwa na kutokufutwa hakufanyiki kiholela kunafanyika Kwa kufuata taratibu
Wametia pamba maskioni, pamoja na malalamiko yote haya kila pande hakuna anaekuja kutolea ufafanuzi au kukubali kua kuna dosari kubwa kwenye zoezi hili
Boya sana jamaa,anajipendekeza kwa mkwe lakini asichokijua mwenzake anamdharau tu.Hivi Huyu MKWE MWENYE KIFUA KIPANA ana elimu gani!!?
Maana naona kaja na mikakati yake ya kuhakikisha kuwa MAMA MKWE anaendelea kwa kura za kumwaga, Anamuandalia mazingira ya mwakani.
Na dc wa longido alishayaweka wazi.. wanayofanya huko maporini ndio hayaHayo ni mambo ya maporini ya CCM,
Mwanasheria msomiHivi Huyu MKWE MWENYE KIFUA KIPANA ana elimu gani!!?
Maana naona kaja na mikakati yake ya kuhakikisha kuwa MAMA MKWE anaendelea kwa kura za kumwaga, Anamuandalia mazingira ya mwakani.