LGE2024 Tarime: Mke aliyepotea miaka 3 akutwa ameandikishwa kupiga kura

LGE2024 Tarime: Mke aliyepotea miaka 3 akutwa ameandikishwa kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Sasa anaetakiwa kutoa taarifa za yeye kufutwa ni Tume? Yeye Yuko kwenye daftari alishajiandikisha sasa ndugu zake wanatakiwa wakatoe taarifa afutwe na kama hawajatoa taarifa hawezi futwa! Kufutwa na kutokufutwa hakufanyiki kiholela kunafanyika Kwa kufuata taratibu
 
Hilo daftari la uchaguzi wa serikali za mitaa watu si wameandikishwa juzi tu hapo? Au huyo mtu aliibuka akaenda kujiandikisha na baadaye kutoweka tena?
 
Mwenge Chacha Ghati, mkazi wa wilayani Tarime Mkoani Mara akielezea kushangazwa kwake baada ya kukuta jina la mke wake kwenye daftari la wapiga kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wakati amepotea miaka mitatu iliyopita.

Chanzo: Jambo TV
 
Majina yatakuwax yanafanana
Lakini hata kama ni yeye sio kazi ya mtendaji au mwandikishaji kujua nani mke wa nani au rafiki yake nani na hata akijua sio kazi yake kumrudisha kwa mumewe

Kama wana uhakika ndiye wamsubiri siku ya kupiga kura wawe na RB na polisi
 
IMG-20241025-WA0040.jpg
 
Wametia pamba maskioni, pamoja na malalamiko yote haya kila pande hakuna anaekuja kutolea ufafanuzi au kukubali kua kuna dosari kubwa kwenye zoezi hili

Hivi Huyu MKWE MWENYE KIFUA KIPANA ana elimu gani!!?

Maana naona kaja na mikakati yake ya kuhakikisha kuwa MAMA MKWE anaendelea kwa kura za kumwaga, Anamuandalia mazingira ya mwakani.
 
Hivi Huyu MKWE MWENYE KIFUA KIPANA ana elimu gani!!?

Maana naona kaja na mikakati yake ya kuhakikisha kuwa MAMA MKWE anaendelea kwa kura za kumwaga, Anamuandalia mazingira ya mwakani.
Boya sana jamaa,anajipendekeza kwa mkwe lakini asichokijua mwenzake anamdharau tu.
 
Tusubiri mtendaji atupange sasa 😂😂😂
 
Hivi Huyu MKWE MWENYE KIFUA KIPANA ana elimu gani!!?

Maana naona kaja na mikakati yake ya kuhakikisha kuwa MAMA MKWE anaendelea kwa kura za kumwaga, Anamuandalia mazingira ya mwakani.
Mwanasheria msomi
 
Back
Top Bottom