Watu kuingia barabarani sio swala la sheria ni swala la HAKI.Unajua Tofauti kati ya sheria na HAKI?Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?
Akili za kinyumbu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitafuta andiko hilo , ninajua kuliko " people used to die in the lake "
Mbowe amekwenda Lindi au Kigoma kumtafutia Lissu Kura, unajua katiba au unasona comments JF na kujifanya unafaham siasa😬!!Nyani haoni kendezake, mbowe si ni kub ana hadhi ya waziri mkuu kivuli
lissu alisema wa tz wengi hatujui kiingereza mkasema kawatukana wa tz. leo hii na wewe umewatukana wa tz? ila MATAGA banaHakuna mwanachama wa Chadema anajua kingereza mkuu, amini hivyo.
Hakuna mwanachama wa Chadema anajua kingereza mkuu, amini hivyo.
Lisu ni mwanasheria wa kwenye magazeti tu na mitandaoni ila hakuna kitu aliwahi kuongea kikaleta maana.
Wewe jamaa sijui umekula maharagwe ya wapi, wameandika hapo zaidi ya mara 1000 kumpigia mgombea kampeni wakati upo nae muda huo haina shida, shida ni wewe kuanzisha msafara wako kama anavyofanya kasim majaliwa.Sasa hoja iwe kutumia rasilimali za serikali kufanya kampeni za kisiasa, Hoja siyo eti kwa kuwa ni mgombea ubunge wa Ruangwa basi eti hana haki ya kuzunguuka nchi nzima kumpigia kampeni mgombea mwingine wa chama chake!.
Mbona wagombea ubunge wa Chadema wanasaidiana kampeni kwenye majimbo yao?, kwa mfano Msigwa alienda Kilosa kumpigia kampeni Profesa J?
Mbona Zitto anazunguuka nchi nzima kuwapigia kampeni wagombea wa chama chake?
Hoja ya Lissu katika hili suala haina mashiko, labda aijenge juu ya kutumia rasilimali za serikali kupiga kampeni, lakini si kwa mtu individually kupiga kampeni kwa niaba ya mtu mwingine mahali popote nchini!
Hizi sheria mbona zote maccm wamezivunja lakini hatujasikia wakipewa wito na hiyo tumeccm ?Majaliwa alipokuwa Mwanza alito maagizo kwa taasisi za serikali juu ya kivuko tena akiwa kwenye jukwaa la kampeni
Majaliwa alitoa maagizo kwa wauguzi na hospitali zinazotoza wamama wajawazito tena akiwa kwenye jukwaa la kampeni
Alafu kanuni za Tume zinasema hivi[emoji116]View attachment 1583169
Bashiru ata pingaSitafuta andiko hilo , ninajua kuliko " people used to die in the lake "
Nikusadie Magufuli alisikika akisemaPeople used to die in the lake inaonekana wewe ni mwalimu wa UPE
wakupimwa wewe sio mzimaKwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?
Akili za kinyumbu tu.
Umemuona wapi mbowe?? Tumia ubongo ,mbowe yuko zake Hai jimboni kwake anaendelea na kampeni ,uwage unaangalia hataa mitandaoNyani haoni kendezake, mbowe si ni kub ana hadhi ya waziri mkuu kivuli
Unaelimishwa lakini bado umeshupaza shingo kama Twiga ili kubisha tu.Inawezekana unasoma lakini HUELEWI. Ulichoandika hapa ni utopolo. Unaposema Spika bado ni Job Ndugai, sijui Tulia Ackson bado ni N/Spika......!!Kwa Bunge lijalo au lipi Kaka? Walokuwa Mawaziri Sasa ndo wanaomba Tena ridhaa ya kurudi Bungeni inawezekanaje waendelee kuwa Mawaziri?
Majaliwa hajitambuiMajaliwa anafanya KAZI anazotakiwa kufanya wakati wote, swala ilibidi kumhoji alikua wapi siku zote kufanya KAZI zake kwa umahiri huu mpaka anasubiria kipindi cha kampeini!?..
Umechanganya mavi na chakula mkuu, kama uelewa wako mdogo kaa kimyaKwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?
Akili za kinyumbu tu.
Punguza jazba au mwambie jamaa achomoe ujambe kisha andika vizuri comment yakoLisu ni mweu Amesahau walivyokuwa wanazunguka na ndege huku Mbowe mkoa ule Slaa na mkoa mwingine Ndesambulo.
Mmehama kwenye hojaHakuna mwanachama wa Chadema anajua kingereza mkuu, amini hivyo.
Kama huwezi kuona tofauti ya hicho alichokuwa anakifanya kwa Lowassa na huu utopolo anaoufanya Majaliwa, wahi mirembe ukachukue failiYeye ndio kabisa alikua abanduki mgongoni Kwa lowassa..nilikutana nao Mwanza airport kambebea lowassa briefcase yake wakielekea Kagera kwenye kampeini, alikua anahutubia mikutano yote ya lowassa mpaka wanamaliza muda na kumwachia mgombea dakika Tano tuu.