Uchaguzi 2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?

Akili za kinyumbu tu.
Watu kuingia barabarani sio swala la sheria ni swala la HAKI.Unajua Tofauti kati ya sheria na HAKI?
 
Nyani haoni kendezake, mbowe si ni kub ana hadhi ya waziri mkuu kivuli
Mbowe amekwenda Lindi au Kigoma kumtafutia Lissu Kura, unajua katiba au unasona comments JF na kujifanya unafaham siasa😬!!
 
Hakuna mwanachama wa Chadema anajua kingereza mkuu, amini hivyo.
lissu alisema wa tz wengi hatujui kiingereza mkasema kawatukana wa tz. leo hii na wewe umewatukana wa tz? ila MATAGA bana
 
Lisu ni mwanasheria wa kwenye magazeti tu na mitandaoni ila hakuna kitu aliwahi kuongea kikaleta maana.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwamba lissu ni Bush Lawyer
 
Sasa hoja iwe kutumia rasilimali za serikali kufanya kampeni za kisiasa, Hoja siyo eti kwa kuwa ni mgombea ubunge wa Ruangwa basi eti hana haki ya kuzunguuka nchi nzima kumpigia kampeni mgombea mwingine wa chama chake!.

Mbona wagombea ubunge wa Chadema wanasaidiana kampeni kwenye majimbo yao?, kwa mfano Msigwa alienda Kilosa kumpigia kampeni Profesa J?

Mbona Zitto anazunguuka nchi nzima kuwapigia kampeni wagombea wa chama chake?

Hoja ya Lissu katika hili suala haina mashiko, labda aijenge juu ya kutumia rasilimali za serikali kupiga kampeni, lakini si kwa mtu individually kupiga kampeni kwa niaba ya mtu mwingine mahali popote nchini!
Wewe jamaa sijui umekula maharagwe ya wapi, wameandika hapo zaidi ya mara 1000 kumpigia mgombea kampeni wakati upo nae muda huo haina shida, shida ni wewe kuanzisha msafara wako kama anavyofanya kasim majaliwa.

Mifano yote uliyoitoa ni useless kwa sababu wahusika walipiga kampeni katika mikutano ambayo wagombea husika wapo eneo la tukio.

Usichoelewa sijui ni nini ?
 
Majaliwa alipokuwa Mwanza alito maagizo kwa taasisi za serikali juu ya kivuko tena akiwa kwenye jukwaa la kampeni

Majaliwa alitoa maagizo kwa wauguzi na hospitali zinazotoza wamama wajawazito tena akiwa kwenye jukwaa la kampeni

Alafu kanuni za Tume zinasema hivi[emoji116]View attachment 1583169
Hizi sheria mbona zote maccm wamezivunja lakini hatujasikia wakipewa wito na hiyo tumeccm ?
 
Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?

Akili za kinyumbu tu.
wakupimwa wewe sio mzima
 
Inawezekana unasoma lakini HUELEWI. Ulichoandika hapa ni utopolo. Unaposema Spika bado ni Job Ndugai, sijui Tulia Ackson bado ni N/Spika......!!Kwa Bunge lijalo au lipi Kaka? Walokuwa Mawaziri Sasa ndo wanaomba Tena ridhaa ya kurudi Bungeni inawezekanaje waendelee kuwa Mawaziri?
Unaelimishwa lakini bado umeshupaza shingo kama Twiga ili kubisha tu.
Baki na Ubashite wako, sina talent ya kuku unlearn ujinga wako
 
Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?

Akili za kinyumbu tu.
Umechanganya mavi na chakula mkuu, kama uelewa wako mdogo kaa kimya
 
Yeye ndio kabisa alikua abanduki mgongoni Kwa lowassa..nilikutana nao Mwanza airport kambebea lowassa briefcase yake wakielekea Kagera kwenye kampeini, alikua anahutubia mikutano yote ya lowassa mpaka wanamaliza muda na kumwachia mgombea dakika Tano tuu.
Kama huwezi kuona tofauti ya hicho alichokuwa anakifanya kwa Lowassa na huu utopolo anaoufanya Majaliwa, wahi mirembe ukachukue faili
 
Back
Top Bottom