Kadoda nguku
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 332
- 475
Rais Lissu anao wapambanaji Wabunge toka CDM watakaopew Uwaziri Mkuu wa JMT,sasa Majaliwa Nate ni CDM?Acheni masikhara,CCM is out!They will never win the Fair and Free Elections at any given post in the country!Huyu Majaliwa anatapatapa apate Uwaziri Mkuu. Safari hii imekula kwake
Hajawahi kusema hivyo hata siku moja maneno haya yalisemwa na NECKwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?
Naomba ratiba ya NEC ikionyesha kampeini za Waziri Mkuu nchini.Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.
Anafanya kampeni kama mjumbe wa halmashauri kuu ya ccmAnamfanyia kampeni Magufuli kama nano? Kutumia madaraka vibaya ndo haya tunayosema ccm kuvujisha hela zawalipakodi.
Akafanye kampeni kwenye jumbo lake. Yeye mimgombea ubunge tuu na so mgombea mwenza. Anatumia cheo cha uwaziri mkuu kufanya kampeni za ccm kinyume na maadili ya NEC. Mbona Mkurugenzi hakemei hili? Angekuwepo Mbowe Nate anazunguka nchi mzima kumfanyia kampeni Lissu, ungesikia Tume imekuja juu kukemea na Ku laani, hats kuitwa angeitwa kwenye kamati ya maadili.
Kassim, kama anafanya ziara za kiserekali zawa ila sio kufanya kampeni. Maana kwenye kampeni zake anakuja kijanja nikama ziara yakiserekali halafu anavaa kijani kuanza kufanya kampeni.
MATUMIZI YA HOVYO YA PESA YA UMA , AKAFANYE KAMPENI JIMBONI KWAKE TAFADHARI.
Hapana ni Lissu na wewe hapo ndo mnaejua tafsiri ya sheria.Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?
Umeeleza wewe ni kwa mjibu wa Tundu Lissu. Nchi haiongozwi kwa mjibu wa Tundu Lissu. Timu ya CCM inawakosesha usingizi wana UfipaMgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi...
Lisu ni mwanasheria wa kwenye magazeti tu na mitandaoni ila hakuna kitu aliwahi kuongea kikaleta maana.
Haha hamna kesi yeyote ya maana aliyoshinda huyo mwanasheria Uchwara,Kama Tundu Lissu ni MWANASHERIA wa Magazeti Kwanini CCM a.k.a WATU WASIOJULIKANA walitaka kumwua?Unachoongea hapa ni uongo mtupu. Tundu Lissu ni MWANASHERIA Nguli na hata CCM wanalijua Hilo!
Anlipwa posho na ccm? Walinzi na wasaidizi wake wanalipwa na ccm? Magari anayotumia ni ya ccm? Yanajazwa mafuta na ccm? Yanaendeshwa na madereva wa ccm?Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.
Huu ni mwiba mpya kwa mgombea wa chama kimoja cha siasa. Daktari amemshauri kusimama kwa dakika zisizozidi 20 akiwa anafanya kampeni. Sasa wale right men wake wakipigwa spana sijui atafanyaje kampeni.
Anatoa ahadi kama ajent wa mgombea, ahadi zote anazotoa ni zile ambazo mgombea angetoa iwapo angekuwa hapo ulingoni.Kwa hyo anazunguka PM kama serkali au kama mgombea na kwanini anatoa ahadi kwa wananchi wakati yy hayupo jimboni kwake.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kuna rights ambazo huwezi kumnyang'anya; ndiyo power ya incumbency hiyo. Hata mwaka 2015 Sumaye na Lowassa waliendelea kupata ulinzi na pensheni zao kwa vile ni haki zao kama mawaziri wakuu wastaafu ingawa walikuwa CHADEMA.Anlipwa posho na ccm? Walinzi na wasaidizi wake wanalipwa na ccm? Magari anayotumia ni ya ccm? Yanajazwa mafuta na ccm? Yanaendeshwa na madereva wa ccm?