Kadoda nguku
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 332
- 475
Yaani tume na wana ccm siku zote hizo hawakujua Kassimu anafanya kosa. Kassimu harusiwi kisheria kuzunguka kwa sababu sio mgombea, ndio maana hata kwenye ratiba ya tume inaonyesha ratiba ya rais na makam wa rais ,hakuna ratiba ya waziri mkuu. Pole pole alivyokosa akili amekurupuka kujibu bila kufikiria .Hoja za Lissu siza kukurupuka kujibu.