Mwenyewe nataka nijue hili ..si kapita ubunge bila kupingwa?Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.
Hawa wakati mwingine ni vichekesho vitupu.Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"
Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.
Akili zako bhaaana,Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?
Povu jepesijepesiMimi si mmoja wao wa kujadili ya kusikia, watu au matukio. Hoja kwa hoja na siyo vioja.
Wapiga kura siyo wajinga kiasi hicho. Mmoja mmoja anaporudi nyumbani kwake anachambua pumba na mchele.
MNA MGOMBEA JASIRI WA KUSEMA UWONGO UWE UKWELI, MATUSI YAWE HOJA
Alaaa kumbeeLisu ni mwanasheria wa kwenye magazeti tu na mitandaoni ila hakuna kitu aliwahi kuongea kikaleta maana.
Siyo kwamba Wabunge wote wa ccm ni wajumbe wa kamati kuu ya chama chao?!Si alitangazwa ubunge kapita bila kupingwa?! au yalikuwa mambo ya mitandaoni? au mpaka aapishwe?Spika tena bado sijui wa kumwapisha nani?Nataka kujifunza hapa..Ni wakati gani anakuwa PM na wakati gani anakuwa mjumbe wa kamati kuu ?
Jibu swali usijiteteeJikite kwenye hoja. Wewe jiulize anapiga kampeni Kama Nani? He huko anakozunguka anaendelea kutoa maagizo na kufanya kazi za kiutendaji wa serikali? Sina upande wowote kwenye hili najaribu kufafanua hoja kuu.
CrapSheria iko kimya kuhusu Hilo. Vilevile Haijanikataza mm Kama mwananchi kuzunguka nchi nzima kumuombea mgombea urais kura.
nadhani kuna mahali hauko sawaUhuru na Haki, mgombea wa Urais wa CHADEMA anaohubiri, aache utafsiriwe kwa vitendo la akanushe lawama kwamba kwa miaka 5 upinzani ulinyimwa haki hiyo?
Mtu akiwa mwongo awe na kumbukumbu nzuri.
Msafara wa mgombea urais una watu wapi?Na msafara wa Rais watu wapi?Sheria haiduhusu mtu yeyote nje ya msafara wa Mgombea Urais na mwenza wake kuzinguka kufanya kampeni nje ya eneo lake.
Majaliwa anaruhusiwa kuwa kwenye msafara wa mgombea Urais na si vinginevyo.
Nothing less nothing more[emoji111]
Kama hujui kitu kubali kukosolewa[emoji818]Ndugu kubali tu lugha ya mama kidogo imekupita pembeni ,unajitutumua tu lakini ukweli ndio huo na kukiri kuwa hujui sio kosa kwani Kiingereza wanaokijua kindakindaki ni wachache na tunajifunza kwa makosa, naamini kwa asilimia mia moja hutaandika tena kama ulivyoandika, kama hujui kitu ukubali kukosolewa au kufundishwa , hii ni lugha na sio siasa ambayo unageuza maneno kumridhisha Mbowe, unaambiwa umekosea wewe unarukia kwa mwingine, kama hujui,hujui tu na kama unajua unajua tu.
Njia hii mtu ambae hajui kingereza ni magifuli tu....jiulize tu ivi kuna mtu hapendi kutoka nje ya Tanzania hata kufanya survey tu lakini magu kwake fresh tuHakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"
Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.
Mbona wote maswali yenu ya mashiko?!Kila mtu amjibu mwenzake kwa manufaa ya wengi hapa Jamvini...ninyi ..kawoli na mwenzako?Jikite kwenye hoja. Wewe jiulize anapiga kampeni Kama Nani? He huko anakozunguka anaendelea kutoa maagizo na kufanya kazi za kiutendaji wa serikali? Sina upande wowote kwenye hili najaribu kufafanua hoja kuu.
Mheshimiwa LISU pitia huku jf ukutane na haya madini.TUME waufyate Mara moja.maja wtz tunamjua mda huu kama amekaimu uwaziri mkuu.na hao wote wateiluwa.harafu kwa nini Memo hajavunja baraza la mawaziri?Kwa kuwa ccm ni wavunjaji wa sheria wazoefu najua hawatatii na kimajaliwa kitaendelea kufanya kampeni za Urais, Cha kufanya na sisi ni kumchukua Mchungaji msigwa au Lema nao wapite mtaa kwa mtaa wakimpigia kampeni Tundu Lissu, halafu tusikie fyoko fyoko mnavunja sheria za uchaguzi
Kumbuka kuna Maadili ya Uchaguzi yaliyoandaliwa na Tume yenyewe , hakuna cha kipengere kwamba ukipita bila kupingwa ukazurule kwenye kampeni za watu , baki Rwangwa au ongozana na mgombea urais wa chama chako , hakuna ratiba ya kampeni iliyopangwa kwa ajili ya wajumbe wa kamati kuu.Siyo kwamba Wabunge wote wa ccm ni wajumbe wa kamati kuu ya chama chao?!Si alitangazwa ubunge kapita bila kupingwa?! au yalikuwa mambo ya mitandaoni? au mpaka aapishwe?Spika tena bado sijui wa kumwapisha nani?Nataka kujifunza hapa..
Nenda Rwangwa ukaulize kisa cha wagombea wa upinzani kutekwaLissu anaujua moto wa Majaliwa, anamwogopa kuliko mtu yeyote, Magufuli 4 life
Inaonekana elimu yako na uelewa wako upo chini, halafu umejaa ubishi wa vijiweni eti nyote mpo sawa.. endelea na unavyojua(case closed).Hata Lissu the Great bado si Kiingereza kizuri sana.The Great what?Tumechukua kwenye Historia Askia Muhamed "The great".Sentensi zote mbili kama tukienda kwenye ufasaha wa kiingereza zinatakiwa kuwa na neno la kumalizia mwishoni(noun).Lakini kama ni kwa ajili ya flavour tu wote mpo sahihi
Majaliwa ni mtumishi wa umma mpaka Sasa bado baraza la mawaziri halijavunjwa badoKwenye hili sidhani kama Lissu yuko sahihi.
Godbless Lema alikuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni za Lissu Dar na alimpigia kampeni wakati ni mgombea Arusha.
Lakini, Kassim Majaliwa bado ni mtanzania, kwa mujibu wa katiba ya nchi ana haki ya kwenda mahali popote nchini.
Na kwa mujibu wa katiba ya nchi Kassim Majaliwa ana haki ya kufanya kazi ya kisiasa aliyotumwa na chama chake kwa sababu chama chake ni chama halali kilichosajiliwa nchini.
Kazi ya kuomba kura ni kazi ya wanachama wote, siyo wagombea peke yao!. It is not about individuals, it is about the party
Miaka michache iliyopita Chadema walikuwa wakilalamika kuzuiwa kufanya siasa nchi nzima, yaani mbunge wa Jimbo X kushiriki siasa za Jimbo Y, Leo Lissu anakubaliana na katazo lilelile la Magufuli ambalo walilipinga kipindi kile?
Labda Lissu anukuu vifungu vya sheria tujionee otherwise hoja yake hii naona haina mashiko
Mkuu michango yako humu JF ni ya kiwango cha juu mno! Kwanza heshima kwa hilo. Hoja ya msingi kwenye kesi hii (cited) Lissu Vs Majaliwa, 2020 ni kwamba maadili ya uchaguzi mkuu 2020 yanakataza viongozi wa serikali (mawaziri, RC's, DC's, n.k.) kuwafanyia kampeni wagombea.Sasa hoja iwe kutumia rasilimali za serikali kufanya kampeni za kisiasa, Hoja siyo eti kwa kuwa ni mgombea ubunge wa Ruangwa basi eti hana haki ya kuzunguuka nchi nzima kumpigia kampeni mgombea mwingine wa chama chake!.
Mbona wagombea ubunge wa Chadema wanasaidiana kampeni kwenye majimbo yao?, kwa mfano Msigwa alienda Kilosa kumpigia kampeni Profesa J?
Mbona Zitto anazunguuka nchi nzima kuwapigia kampeni wagombea wa chama chake?
Hoja ya Lissu katika hili suala haina mashiko, labda aijenge juu ya kutumia rasilimali za serikali kupiga kampeni, lakini si kwa mtu individually kupiga kampeni kwa niaba ya mtu mwingine mahali popote nchini!
We hata huelewi? Kassim Majaliwa Kwani ni Mstaafu? Kwani umemsikia Lissu akiwataja Kikwete au Mizengwe Pinda?Kuna rights ambazo huwezi kumnyang'anya; ndiyo power ya incumbency hiyo. Hata mwaka 2015 Sumaye na Lowassa waliendelea kupata ulinzi na pensheni zao kwa vile ni haki zao kama mawaziri wakuu wastaafu ingawa walikuwa CHADEMA.