Idimulwa
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,944
- 2,459
Mwenyewe nataka nijue hili ..si kapita ubunge bila kupingwa?Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.