Hahaha mkuu umempendelea ni hivi "of course people used to die in the rake"Sitafuta andiko hilo , ninajua kuliko " people used to die in the lake "
Mgombea Urais kupitia Chadema Mh Tundu Lissu amemuonya Kasimu Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi...
Wewe ndiyo wa ajabu kwa kukataa ukweli hakuna uzushi bali alisema mapema ndipo mtukufu magufuli akaamua kuahirisha kuepuka Aibu kubwaHuyu mtu wa ajabu kweli; akiwa Musoma amezusha uwongo kuwa wakurugenzi wameitwa Dodoma kupewa maagizo na Magufuli: uongo mkubwa! Sasa leo leo anatamka sheria isiyokuwepo kabisa; yaani ameanza anaonyesha kuwa ni mbabaishaji. Sheria ya uchaguzi inayoruhusu wagombewa kufanya kampeini inasema hivi...
Soma katiba tena mzee wangu; bunge likivunjwa Baraza la Mawaziri na Ofisi ya Spika wa Bunge wataendelea na kazi hadi hapo Rais mpya na Spika mpya watakapopatikana.Bunge likivunjwa na baraza la mawaziri huvunjwa hapo hapo lakini kwenye utawala huu wa kienyeji wameendelea kuwepo kazini kwa njia haramu za kishetani kinyume cha Sheria na katiba
Wamemwita wenyeee huko ngoja aende na hizi nondo mbona watabroo tuKwa kuwa ccm ni wavunjaji wa sheria wazoefu najua hawatatii na kimajaliwa kitaendelea kufanya kampeni za urais,
Cha kufanya na sisi ni kumchukua Mchungaji msigwa au Lema nao wapite mtaa kwa mtaa wakimpigia kampeni Tundu Lissu, halafu tusikie fyoko fyoko mnavunja sheria za uchaguzi
Hakuna ushahidi wowote; alisemaje mapema bila kutoa ushahidi. Kama kweli rais anataka kukutana na watendaji wa serikali ni sheria gani inayomzuiwa.Wewe ndiyo wa ajabu kwa kukataa ukweli hakuna uzushi bali alisema mapema ndipo mtukufu magufuli akaamua kuahirisha kuepuka Aibu kubwa
Msalimie Mwakyembe , mwambie sisi Chadema tumefurahishwa sana wapambe wake wanavyoibomoa ccmNdugu kubali tu lugha ya mama kidogo imekupita pembeni ,unajitutumua tu lakini ukweli ndio huo na kukiri kuwa hujui sio kosa kwani Kiingereza wanaokijua kindakindaki ni wachache na tunajifunza kwa makosa, naamini kwa asilimia mia moja hutaandika tena kama ulivyoandika,kama hujui kitu ukubali kukosolewa au kufundishwa ,hii ni lugha na sio siasa ambayo unageuza maneno kumridhisha Mbowe,unaambiwa umekosea wewe unarukia kwa mwingine,kama hujui,hujui tu na kama unajua unajua tu.
shukrani mkuuToka maktaba video:
23 September 2020
Mwanza, Tanzani
Waziri mkuu akiwa Mwanza kumpigia kampeni mgombea John Magufuli wa CCM Mpya
MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, na ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameendelea na kampeni za kukinadi chama chake na kumuombea kura mgombea wao wa urais, Dkt John Pombe Magufuli..
Huyo anajua anachokizungumza na sidhani kama aliongea bila kujiridhisha.Wacha tusubiri ufafanuzi maana hili haliwezi kupita hivi hivi.Kwenye hili sidhani kama Lissu yuko sahihi.
Godbless Lema alikuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni za Lissu Dar na alimpigia kampeni wakati ni mgombea Arusha...
Hoja ya Lissu sio uwaziri mkuu bali hoja ni kumpigia kampeni mgombea uraisi wa CCM nje ya Jimbo lake.Soma katiba tena mzee wangu; bunge likivunjwa Baraza la Mawaziri na Ofisi ya Spika wa Bunge wataendelea na kazi hadi hapo Rais mpya na Spika mpya watakapopatikana..
Kwani kuingia barabarani ni wapi imeandikw kama ni kosa,basi magari yasingekuwa yanaingia barabaraniKwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?
Akili za kinyumbu tu.
Katiba na sheria za uchaguzi hazimzuii; na wala hakuna kipengele chochote kinacholimit watu kufanya kampeini za uraisi katika majimbo yao tu. Watu wanaendeshwa na hisia za uwongo tu bila kusoma sheria na katiba inasemaje. halafu Lisu anajua kuwatumia vizuri watu hao ambao wao ni fuata upepeo tu; anawalisha uwongo wao wanameza tuHoja sio uwaziri mkuu bali hoja ni kumpigia kampeni mgombea uraisi wa CCM nje ya Jimbo lake.
Key word CONSTITUENCY = Jimbo la Uchaguzi. Hivyo ni sahihi na kweli Kassim Majaliwa ukomo wake ni jimboni. Hakuna jimbo linalojulikana kama Taifa.
Hivi akili zenu zimefikia mahali hata lililo semwa mchana peupe hamuelewi? Nani kasema hivyo? Lissu kasema AKISHINDA KIHALALI na kisha ASITANGAZWE ndio patachimbika! Mnaogopa nini kauli hiyo? Kwani ndio mpango wenu kuwa hata akishinda hamumtangazi?Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?
Akili za kinyumbu tu.
Mkuu umenikuna kisawasawa. Wa bongo wajuaji. Ukimwambia hapo umekosea au improve kidogo wanakukejel kwani hujaelewa?! Badala wajifunze.Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"
Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.