Mkonowatembo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,107
- 1,012
Mgombea Urais kupitia Chadema Mh Tundu Lissu amemuonya Kasimu Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi..
Kwahiyo ndio mtakuwa mmejibu hoja za Lissu?Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"
Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.
Tulia wewe mammalia upewe shule !!!!!! Majaliwa anapaswa kuwa jimboni kwake tuu basi mambo ya CCM ni ndani ya CCM wewe mammalia kwenye kampeni za uraisi ni wagombea urais tuu wanapaswa kuzunguka nchi nzimaMahaliwa ji mjumbe wa kamati kuu ya ccm
Ndo maana alinampigia kampeni mgombea urais wa ccm
Sent from my SM-A910F using JamiiForums mobile app
One term prime ministerHuyu Majaliwa anatapatapa apate uwaziri mkuu. Safari hii imekula kwake
Mgombea Urais kupitia Chadema Mh Tundu Lissu amemuonya Kasimu Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi...
jikite kwenye mada , Majaliwa anazunguka nchi nzima kama nani ?
Majaliwa ni mwanaume wa viti maalumMgombea Urais kupitia Chadema Mh Tundu Lissu amemuonya Kasimu Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi...
Kanuni hazimruhusu kufanya hivo, kwa sasa wanaoongoza kuvunja maadili ya uchaguzi ni jpm,Jama mbunge na mwana ccm. Sema jingine
Una kanuni na maadili ya uchaguzi ya mwaka huu,? Tume inapanga ratiba za wagombea urais, majaliwa ratiba yake imepangiwa na nani?Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.
Key word hapa ni Lissu. FYI by 29 oktoba shall be written " Lissu the President of JMT".Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"
Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.
Uchaguzi una kanuni na maadili ya uchaguzi,ili twende sawa weka kanuni au sheria za uchaguzi hapa ili tujue anabanwa au habanwi, je majaliwa ratiba zake zinapangwa na nani?Kwenye hili sidhani kama Lissu yuko sahihi.
Godbless Lema alikuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni za Lissu Dar na alimpigia kampeni wakati ni mgombea Arusha...
Kama ni mjumbe wa NEC ya CCM then why he is using govt resources?Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.
Wakati wote anakuwa na vyote.Ni wakati gani anakuwa PM na wakati gani anakuwa mjumbe wa kamati kuu ?
Ratiba zake mikoani zinapangwa na nani? Je tume wanampangia ratiba au...hili jambo haliwezi pita hivihiviMahaliwa ji mjumbe wa kamati kuu ya ccm
Ndo maana alinampigia kampeni mgombea urais wa ccm
Sent from my SM-A910F using JamiiForums mobile app
Tatizo uchaguzi unaendeshwa kwa kanuni na sio shaghalabagala, viongozi wa serikali wamekatazwa kujitumbukiza kwenye kampeni wakiwemo wakuu wa mikoa na wilayaWakati wote anakuwa na vyote.
1. Maadam serkali bado iko madarakani na haijakoma hadi itakapotangazo serkali nyingine.
2. Maadam ni mjumbe wa Nec ya ccm na anevaa kijani
Hii ni complicated hata Lishu anajua ila anatafuta mahali ambabaishe kwa desturi ya wanasheria
Mwaka huu CCM wamekula ya chuya.Mgombea Urais kupitia Chadema Mh Tundu Lissu amemuonya Kasimu Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi...
Nyani haoni kendezake, mbowe si ni kub ana hadhi ya waziri mkuu kivuli
Replies zako zimegeuka kuwa kitukoKaona kaka k anampiga deki