Uchaguzi 2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

Mgombea Urais kupitia Chadema Mh Tundu Lissu amemuonya Kasimu Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi..

Tundu Lissu una tatizo kubwa. Majaliwa ana nafasi ya kitaifa ya ujumbe wa NEC, kwa hiyo hafungwi na siasa za jimbo. Isitoshe anamnadi mgombea wa wa kitaifa. Alafu ya kusema anampiga stop imetoka wapi! Ana nguvu hiyo? Saana saana alalamike kwenye tume na wao wataamuwa.
 
Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"
Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.
Kwahiyo ndio mtakuwa mmejibu hoja za Lissu?
 
Mahaliwa ji mjumbe wa kamati kuu ya ccm
Ndo maana alinampigia kampeni mgombea urais wa ccm

Sent from my SM-A910F using JamiiForums mobile app
Tulia wewe mammalia upewe shule !!!!!! Majaliwa anapaswa kuwa jimboni kwake tuu basi mambo ya CCM ni ndani ya CCM wewe mammalia kwenye kampeni za uraisi ni wagombea urais tuu wanapaswa kuzunguka nchi nzima
 
Je, kwenye ratiba ya Tume ya Uchaguzi Waziri Mkuu yumo?mda na mahali? Kwanini Tume imekaa kimya? Huyu anatumia vyombo vya wananchi kunadi mgombea mahali popote! Kwanini Tume hawajawa fair katika hili?
 
Umechanganyikiwa. Majaliwa ni mbunge ana haki ya kumpigia kampeini mgombea yoyote wa chama chake
Mgombea Urais kupitia Chadema Mh Tundu Lissu amemuonya Kasimu Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi...
 
Mgombea Urais kupitia Chadema Mh Tundu Lissu amemuonya Kasimu Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi...
Majaliwa ni mwanaume wa viti maalum
 
Binafsi siku zote nilikuwa najiuliza kasimu majaliwa anazunguka kama nani? Ndo maana alifanya figisu kule ruangwa ya kupita bila kupingwa kwa kuwarubuni wagombea wa upinzani ili azurure hivi.
 
Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.
Una kanuni na maadili ya uchaguzi ya mwaka huu,? Tume inapanga ratiba za wagombea urais, majaliwa ratiba yake imepangiwa na nani?
 
Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"
Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.
Key word hapa ni Lissu. FYI by 29 oktoba shall be written " Lissu the President of JMT".
 
Kwenye hili sidhani kama Lissu yuko sahihi.

Godbless Lema alikuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni za Lissu Dar na alimpigia kampeni wakati ni mgombea Arusha...
Uchaguzi una kanuni na maadili ya uchaguzi,ili twende sawa weka kanuni au sheria za uchaguzi hapa ili tujue anabanwa au habanwi, je majaliwa ratiba zake zinapangwa na nani?
 
Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.
Kama ni mjumbe wa NEC ya CCM then why he is using govt resources?
 
Ni wakati gani anakuwa PM na wakati gani anakuwa mjumbe wa kamati kuu ?
Wakati wote anakuwa na vyote.
1. Maadam serkali bado iko madarakani na haijakoma hadi itakapotangazo serkali nyingine.

2. Maadam ni mjumbe wa Nec ya ccm na anevaa kijani

Hii ni complicated hata Lishu anajua ila anatafuta mahali ambabaishe kwa desturi ya wanasheria
 
Tatizo uchaguzi unaendeshwa kwa kanuni na sio shaghalabagala, viongozi wa serikali wamekatazwa kujitumbukiza kwenye kampeni wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya
 
Back
Top Bottom