Uchaguzi 2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

27 September 2020
Tarime , Tanzania

Tundu lissu akitubia Tarime akimzungumzia Waziri mkuu Kassim Majaliwa kumfanyia kampeni Magufuli kinyume na Maadili ya Sheria ya Uchaguzi inavyomkataza...
Lissu ama hajui kusoma sheria au anawapotosha wafuasi wake kuhusu tafsiri za sheria. Mgombea yeyote hugombea katika consitituency fulani, na anaweza kuweka mtu yeyote kuwa ajent katika consituency hiyo.

Consituency siyo jimbo la uchaguzi bali ni eneo ambalo mtu anapigiwa kura; consituency ya rais ni nchi nzima ya Tanzania, na consituency wa wabunge ni majimbo yao ya ubunge. Mgombea anaweza kumtuma raia yeyote kuwa ajent wake, siyo kudhani kuwa ajent lazima awe ni mbunge tu mwenye jimbo.

Huyu bwana kweli akili yake ni timamu iwapo anashindwa hata kutambua tafsiri ndogo kama hiyo. Kwa akili hiyo hivi kwelie ataongoza nchi vizuri akipewa jukumu hilo?
 
Lissu ama hajui kusoma sheria au anawapotosha wafuasi wake kuhusu tafsiri za sheria. Mgombea yeyote hugombea katika consitituency fulani, na anaweza kuweka mtu yeyote kuwa ajent katika consituency hiyo. Consituency siyo jimbo la uchaguzi bali ni eneo ambalo mtu anapigiwa kura; consituency ya rais ni nchi nzima ya Tanzania, na consituency wa wabunge ni majimbo yao ya ubunge. Mgombea anaweza kumtuma raia yeyote kuwa ajent wake, siyo kudhani kuwa ajent lazima awe ni mbunge tu mwenye jimbo.

Huyu bwana kweli akili yake ni timamu iwapo anashindwa hata kutambua tafsiri ndogo kama hiyo. Kwa akili hiyo hivi kwelie ataongoza nchi vizuri akipewa jukumu hilo?

Nchi haiwezi kuwa constituency = jimbo la kibunge la uchaguzi, constituency ni jimbo la kiuchaguzi ngazi ya ubunge.
A constituency is an area for which someone is elected as the representative in a parliament or government.
 
28 Sep 2020
Bukoba, Kagera
Tanzania

MAJALIWA Aibukia BUKOBA, Awaondoa HOFU Wakulima wa KOROSHO - "SOKO Lilikuwa GUMU Sababu ya CORONA" KASSIM MAJALIWA

Waziri Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM ameendelea na kampeni za kumnadi mgombea urais, John Magufuli, ambpo amefika Bukoba na kumwaga sera kwa wananchi.. Amewaeleza wakulima juu ya sababu ya kuchelewa kwa uuzwaji wa Korosho na kuwaondoa hofu kuwa wamejipanga vyema kuwatumikia wakulima hao na wananchi kwa ujumla endapo watapata ridhaa ya yao ya kuongoza nchi kwa awamu ya pili...

Source : Global online TV
 
Nchi haiwezi kuwa constituency = jimbo la kibunge la uchaguzi, constituency ni jimbo la kiuchaguzi ngazi ya ubunge.
basi hujui maana halisi ya constituency, yaani ulaishwa crap na Lissu nawe unaimeza ilivyo! Hata wapiga kura wa kiti cha udiwani ndiyo constituency wa kiti hicho, na vile vile wapiga kura wanaomchagua rais ndiyo consitituency ya kiti kile.

Angalia maelezo haya kutoka kwa wenzetu
1601342503807.png
 
basi hujui maana halisi ya constituency! hata wapiga kura wa diwani ndityo constituency wa kiti hcho, na vile vile wapiga kura wa rais ndiyo consitituency ya ya kiti kile.
Angalia mfano huu kutoka kwa wenzetu
View attachment 1584008

Wananchi wa nchi za Jumuiya ya Madola wanachagua muakilishi wa jimbo liwe la udiwani au ubunge hata kata . Tofauti na nchi inayoendeshwa kwa mfumo federation kama USA. Mfumo wa serikali ya Tanzania kikatiba pia unafanana na wa nchi ya Ufaransa wenye Rais, Waziri Mkuu na wawakilishi toka constituency.

Wananchi wa nchi za Jumuiya ya Madola Commonwealth countries hawamchagui Rais kwenda kuwawakilisha bungeni au katika baraza la madiwani / halmashauri.
 
Lissu the GREATEST

Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi .

Kwa mujibu wa Lissu, Waziri Mkuu Kikatiba hatakiwi kumpiga kampeni mgombea Urais wa chama chake nje ya jimbo lake la uchaguzi ambalo ni Ruangwa tu na ameonya kwamba NEC isipochukua hatua kwenye hili basi itajisimika rasmi kuwa TUMECCM .

Je, Wanasheria mliopo hapa JF hili jambo limekaaje?

Wananchi wa nchi za Jumuiya ya Madola wanachagua muakilishi wa jimbo liwe la udiwani au ubunge hata kata . Tofauti na nchi inayoendeshwa kwa mfumo federation kama USA.

Wananchi wa Jumuiya ya Madola Commonwealth countries hawamchagui Rais kwenda kuwawakilisha bungeni au katika baraza la madiwani / halmashauri.
Bado hujui maana ya neno constituency: maana yake ni watu wanaomchagua mtu mmoja kuwafanyia kazi ambayo wao wote hawawezi kuifanya kwa pamoja! Plain and simple; wewe unafikiria contituency kwa jicho jembamba la bungeni, lakini unasahau kuwa hata kwenye makampuni ambya kibiashara wanahisa wanaweza kumchagua mwenzao mmoja kuwawakilisha katika bodi ni hivyo huyo aliyechaguliwa kuwa anawaita wale wanahisa anowakilisha kuwa ndiyo constituency yake; some hapa.

1601343676382.png

Kwa tafsiri yako na ya Lissu kuhusu kifungu hicho mnataka kusema kuwa mtu ambaye siye mbunge hawezi kuwa ajent kwenye uchaguzi wa Rais? Kwanza unashindwa kuelewa kuwa wakati wa kipindi cha uchaguzi huwa hakuna wabunge tena kwa vile bunge limekishwa vunjwa! Kwa nini sheria itumie neno constituency kwa tafsiri yako wakati hakuna wabunge tena?.
 
View attachment 1584012

Tafsiri yako ni neno la lugha ya Kiingereza lakini kumbuka kuna lugha mahususi ya kisheria.

Nilivyokuelewa tafsiri yako ya neno constituency hujatumia lugha ya kisheria hivyo unaweza hata kufananisha kundi lolote la watu wenye maslahi.

Hivyo hata kundi la wafanyakazi unaweza kuwaita ni constituent / constituency. Pia mama ntilie ni kundi maslahi ni constituency bila kusahau bodaboda, wanafunzi wa vyuo vya elimu ya Juu, Wakulima wakubwa, Wakulima wadogo, Wafanyabiashara Machiga n.k

Lakini kwa muktadha wa lugha ya kisheria kuhusu uchaguzi ngazi ya ubunge na udiwani (legal language) constituency ni jimbo la wapiga kura jimbo la ubunge , udiwani,uenyekiti wa mtaa lakini siyo raia wa nchi nzima ukawafananisha na jimbo moja kubwa la wapiga kura kama katika mfano wako wa raia wa USA.
 
Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"

Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.

Waambie

"Lissu the greatest lawyer
, the greatest politician"
 
Sitafuta andiko hilo , ninajua kuliko " people used to die in the lake "
Mimi naona ni busara kukubaliana naye. Amekiri na amesema " Lissu the greatest lawyer and politician" hilo halina ubishi
 
Tafsiri yako ni neno la lugha ya Kiingereza lakini kumbuka kuna lugha mahususi ya kisheria.

Nilivyokuelewa tafsiri yako ya neno constituency hujatumia lugha ya kisheria hivyo unaweza hata kufananisha kundi lolote la watu wenye maslahi...
Umeelewa vibaya tafsiri hiyo, kwani una maana kuwa mtu ambaye siyo mbunge au diwani (angalu umekubali kuwa hata diwani ana constituency yake tofauti na ulivyoanza) hawawezi kuwa ajent wa mgombea urais chini ya kifungu hicho cha sheria.

Halafu ni kwa nini hujibu kuwa sasa havi hakuna wabunge tena kwa vile bunge lieshavunjwa kwa hiyo hakuna mtu mwenye constuency unayosema? Ni consituency gani ya Majaliwa unayosema kwani yeye sasa hivi siyo mbunge tana?

Unajua kabisa inawezekana kuwa Waziri Mkuu Majaliwa angeamua asigombee ubunge lakini akabaki kuwa waziri mkuu hadi serikali nyingine itakjapoapishwa, na bado angeweza kuwa wakala wa Magufuli kama ambavyo Mzee Pibnda na Mzee Kikwete walivyo mawakala wake leo?
 
Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?
Unatumia nini kufikiria? Naweza kuapa siyo ubongo!
 
Kwamba Lissu ndiye peke yake anajua tafsiri ya sheria? Kama nawe unaamini hivyo iweje ahamasishe wapiga kura kuingia barabarani iwapo hatatangazwa mshindi?
We sema majaliwa ni nani kwenye kampeni wakati kanuni na maadili ya tume hayaruhusu Swala la kuinhiza watu Road haliepukiki mack our word NJOO KARATU UTUONE 25YERS TUKO NA CDM polisi krt tunakula nao bata hadi kunakucha wako fresh au uliza mtumishi yoyote na ndo tunataka hizi raha tunazopata sisi na wengine wapate
 
Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"

Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.
Hata Lissu the Great bado si Kiingereza kizuri sana.The Great what?Tumechukua kwenye Historia Askia Muhamed "The great".Sentensi zote mbili kama tukienda kwenye ufasaha wa kiingereza zinatakiwa kuwa na neno la kumalizia mwishoni(noun).Lakini kama ni kwa ajili ya flavour tu wote mpo sahihi
 
Lissu ama hajui kusoma sheria au anawapotosha wafuasi wake kuhusu tafsiri za sheria. Mgombea yeyote hugombea katika consitituency fulani, na anaweza kuweka mtu yeyote kuwa ajent katika consituency hiyo...
Anashida fulani nadhani ya uwelewa. Alichobakiza ni kulalamika tu hana laziada. Anasahau CCM ina timu kubwa. Majaliwa ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Chama kimempa kazi kuzunguka. Haendi Kama PM anaenda Kama Mjumbe.

Pia hana mikutano binafsi palipo na Miutano wa Mgombea Ubunge anaalikwa hapo akuzungumza.

Tatizo Chadema hawana hela ndio maana hata Katibu Mkuu wa Chama kabaki ofisini tu ilhali alipaswa kuwa majimboni akisaidia Wabunge wake.
 
Kama hamna majibu basi aitwe leo na kuhojiwa Dodoma vinginevyo akipupuliwa mawe mtabeba lawama zoote.
 
Nyie hamjui, Kassim Majaliwa ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Dume, Chama Cha Mapinduzi?

Tulieni tu dawa iwaingie sawasawa...
 
CCM na Magufuli yake Hawajui Wana deal na mtu ambaye yuko above their level! Kassim Majaliwa alikuwa Mbunge kwene Bunge lilopita na aliteuliwa kuwa PM. Baada ya Bunge la JMT kuvunjwa Majaliwa is NO LONGER A Prime Minister...
Lissu ana level gani?Tunaomba ajibu kuhusu uraia wa nchi mbili.Mbona kimya?
 
Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"

Kila siku mnakandia watu hawajui kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.
Tunajazilizia kwa kichwa/ kichwani...Hii ni JF,nyumbani kwa wenye fikra pana na pevu,siyo ..fb/insta....
 
Back
Top Bottom