Tariq Kipemba amewakosea nini wanadamu mpaka wameamua kumpa adhabu kali namna hii?

Acha upumbavu wako,zee Zima hadi leo 21st century bado unaongelea ukabila, mimi ni mndendeule na nipo huku lingusenguse, huyu aliyepatwa na janga hili ni binadamu mwenzangu, kwangu sio mchaga..halafu unakwenda nyumba za ibada na kuomba wakati umejaa ushetani mkubwa, sometime learn to shut up
Mndendeule mwenzangu ujambo lakini! Umeongea vyema sana karibu litola bhana uje ule ndizi
 
Mkuu hili kabila ndio nalisikia Leo mndendeule na hu mtaa lingusenguse ni Tz hi au?
 
Ohooo mkuu ahsante sana, Litola hapo nimefika sana hapo, nimecheza mpira sana hapo, vipi jirani zenu Kumbara, Namabengo wapo safi!tutaongea sana mkuu,...Lwegu hapo..
 
Yes mkuu Tanzania yetu ni kubwa na nzuri, wandendeule wanaishi mkoa wa Ruvuma na upande wa kaskazini mwa mji wa songea, Mila na desturi zao ni kama wangoni, ukitembelea Ruvuma wandendeule utawakuta zaidi njia ya kwenda tunduru, na baadhi ya vijiji vya barabara kuu ya songea to Njombe, Hannah,Mtakanini, Lumecha,Namabengo, Litola,Nyalamatata (kijiji bora cha mkoa miaka hiyo)etc etc ,karibu mno
 
Pole yake, ila inavyoonekana alifanya jambo baya kwa huyo jamaa ake. Japo sisemi kama anastahili adhabu aliyopewa.
 
Acha upumbavu wako,zee Zima hadi leo 21st century bado unaongelea ukabila, mimi ni mndendeule na nipo huku lingusenguse, huyu aliyepatwa na janga hili ni binadamu mwenzangu, kwangu sio mchaga..halafu unakwenda nyumba za ibada na kuomba wakati umejaa ushetani mkubwa, sometime learn to shut up
Ana ujinga mwingi sana huyo jamaa!
 
Yes mkuu Tanzania yetu ni kubwa na nzuri, wandendeule wanaishi mkoa wa Ruvuma na upande wa kaskazini mwa mji wa songea, Mila na desturi zao ni kama wangoni, ukitembelea Ruvuma wandendeule utawakuta zaidi njia ya kwenda tunduru, na baadhi ya vijiji vya barabara kuu ya songea to Njombe, Hannah,Mtakanini, Lumecha,Namabengo, Litola,Nyalamatata (kijiji bora cha mkoa miaka hiyo)etc etc ,karibu mno
👍
 
Ohooo mkuu ahsante sana, Litola hapo nimefika sana hapo, nimecheza mpira sana hapo, vipi jirani zenu Kumbara, Namabengo wapo safi!tutaongea sana mkuu,...Lwegu hapo..
Ahahahahahaha,,,, safi sana mkuu pande zile wote awajambo japo nimetoka mda kidogo huko ngoja nitafute kalikizo niende huko nikawasalimu
 
Back
Top Bottom