uwezi kufanyiwa kosa kama huna kosa.wadada wakipewa picha yake ya kwanza watafunguka hapa bila hata kumfahamu
Pole yake, ila inavyoonekana alifanya jambo baya kwa huyo jamaa ake. Japo sisemi kama anastahili adhabu aliyopewa.
Kitando cha kuanza kuleta dhana ya itakua alifanya ni tayari unaunga mkono moja kwa moja kwa kitendo alichofanyiwa. Tuachane ku support mambo ya kikatili, mpaka yatakamfika mtu wako wa karibu au wewe mwenye ndipo utafahamu kama ni jambo la kishenzi sana.