Tariq Kipemba amewakosea nini wanadamu mpaka wameamua kumpa adhabu kali namna hii?

Binafsi simfahamu na sikuwahi kusikia habari yake before hujampost. Ila naomba niwe general tu katika maoni yangu bila kuyaelekeza kwake. Ktk kila tukio, Kuna hidden story behind. Sisi wanadamu tukiwa na afya njema, tunakuwa na dharau Sana, na hatujali maumivu ya wengine. Ni jambo la kawaida mtu kukudhulumu alaf akakuletea utemi. Ni kawaida mtu kutembea na mke wa mtu au kuchukua demu wa mtu alaf akaenda kutangaza as if ni jambo zuri.

Kipindi hayo yote yanatokea, wakishauriwa huwa wanashupaza shingo. In a real sense, ni ngumu mtu kuja kukudhuru bila sababu. Anyway, pole Sana kwake.
 
pole yake na familia.Ingawa kichwa cha habari ulivyoanza ni kama sote twamjuwa.
 
Mkuu naomba uniambie hii habar imewekwa lini na millardayo,kuna mtu nataka nim tag nina uhakika kwa asilimia nyingi anaweza msaidia hyo jamaa.
 
Inasemekana kuna jamaa alimtishia tariq awali kabla hata ya tukio, sasa washikaji zake wa karibu wa tariq walimwambia jamaa anasema lazima akulaze kitandani na taraq akawaambia hakuna anaweza nifanya kitu, sasa tukio la bodabosa kuja kumwagia tindikali imeonganishwa na story za yule bwana na tayari jeshi la polisi limeshamkamata
 
Mkuu hili kabila ndio nalisikia Leo mndendeule na hu mtaa lingusenguse ni Tz hi au?
Mkuu ili kabila mbona lipo mda tu linapatikana wilaya ya namtumbo mkoa wa ruvuma ni kabila kubwa sana sema huwezi kujua makabila yote yanayopatikana nchini tanzania
 
Nilifikiri limetokea juzi kumbe miezi mitatu! Rais anakwenda kubembea Marekani, raia kupelekwa India haiwezekani!
Hivi unafikiri nchi ina mgonjwa mmoja anayetakiwa kwenda kutibiwa nje!?wapo maelfu!
 
Nimeiona jana kupitia Millard ayo youtube.
Mkuu naomba uniambie hii habar imewekwa lini na millardayo,kuna mtu nataka nim tag nina uhakika kwa asilimia nyingi anaweza msaidia hyo jamaa.
 
Kwenye mabaya ndio mnakumbuka kuna makabila mengine, ila kwenye kupenda sifa nzuri huwa mnaona jamii nyingine zote za huko kama noble gas au variables.
We kabila Gani mkuu, ukitaja makabila ya watu taja na lako ili tujue sifa zako.
 
Kisa sio mke wa mtu na kwamba upepo wa ushoga unatembelewa tu hapa??

Haya kumbe punga alikua anamtongoza akamkamtaa! Ndo akaamua kumwagia mwenzie tindikali. Na hivi mashoga wana haki zao mbona tutakoma!
 
Mkuu hili kabila ndio nalisikia Leo mndendeule na hu mtaa lingusenguse ni Tz hi au?
Huwajui wandendeule? [emoji1787][emoji1787][emoji24]Born in 2000, mna vituko,ukienda Ruvuma, Songea kuna makabila ya wandendeule,wangoni,wayao,wanyasa,wamatengo,wamanda etc
 
Kisa sio mke wa mtu na kwamba upepo wa ushoga unatembelewa tu hapa??
je ni halali kumfanyia mtu hivyo? Si wanaume wenyewe wanajitapa wao hawawezi kukaa na mwanamke mmoja sasa kwanino uumie mtu akipita na wakwako
 
Nakazia: Haiwezekani mtu from no where bila sababu yoyote akumwagie tindikali. Tuwe wakweli. Pole yake.

kwahiyo wewe una support huo ushenzi? Hakuna sababu yoyote ya kumpa mtu haki ya kufanya kitendo kama hicho. Binaadamu hatutakiwi tuwe kama wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…