uwezi kufanyiwa kosa kama huna kosa.wadada wakipewa picha yake ya kwanza watafunguka hapa bila hata kumfahamu
Pole yake, ila inavyoonekana alifanya jambo baya kwa huyo jamaa ake. Japo sisemi kama anastahili adhabu aliyopewa.
je ni halali kumfanyia mtu hivyo? Si wanaume wenyewe wanajitapa wao hawawezi kukaa na mwanamke mmoja sasa kwanino uumie mtu akipita na wakwako
Binafsi simfahamu na sikuwahi kusikia habari yake before hujampost. Ila naomba niwe general tu katika maoni yangu bila kuyaelekeza kwake. Ktk kila tukio, Kuna hidden story behind. Sisi wanadamu tukiwa na afya njema, tunakuwa na dharau Sana, na hatujali maumivu ya wengine. Ni jambo la kawaida mtu kukudhulumu alaf akakuletea utemi. Ni kawaida mtu kutembea na mke wa mtu au kuchukua demu wa mtu alaf akaenda kutangaza as if ni jambo zuri.
Kipindi hayo yote yanatokea, wakishauriwa huwa wanashupaza shingo. In a real sense, ni ngumu mtu kuja kukudhuru bila sababu. Anyway, pole Sana kwake.
Sipendi tabia ya watu kucreate tukio then wanaplay victim role. Tatizo kuna watu mnaishi kinafki sana, msamaha ni jambo la hiari kwa yule aliyekosewa. Mimi siwezi toka from nowhere then nimlazimishe mtu asamehe, wakati sijui alikumbwa na nn.kwahiyo kwa kuwa kamkosea mtu ni sahihi amfanyie hivyo? kwanini wa TZ tumekua tukiona ni jambo la kawaida tu watu kuishi kama wanyama?
Sanawaafrika tuna tabia za kishenzi sana
definitely!!!!!!!!!Nakazia: Haiwezekani mtu from no where bila sababu yoyote akumwagie tindikali. Tuwe wakweli. Pole yake.
UCHAMBUZI MFUPI WA KUELEWEKA !!!!!! Pole sana Mr Tarique.Binafsi simfahamu na sikuwahi kusikia habari yake before hujampost. Ila naomba niwe general tu katika maoni yangu bila kuyaelekeza kwake. Ktk kila tukio, Kuna hidden story behind. Sisi wanadamu tukiwa na afya njema, tunakuwa na dharau Sana, na hatujali maumivu ya wengine. Ni jambo la kawaida mtu kukudhulumu alaf akakuletea utemi. Ni kawaida mtu kutembea na mke wa mtu au kuchukua demu wa mtu alaf akaenda kutangaza as if ni jambo zuri.
Kipindi hayo yote yanatokea, wakishauriwa huwa wanashupaza shingo. In a real sense, ni ngumu mtu kuja kukudhuru bila sababu. Anyway, pole Sana kwake.
Mkuu sifurahii waliomfanya hivyo..kwahiyo kwa kuwa kamkosea mtu ni sahihi amfanyie hivyo? kwanini wa TZ tumekua tukiona ni jambo la kawaida tu watu kuishi kama wanyama?
Mkuu sifurahii waliomfanya hivyo..
Ila kama ni kweli alikuwa anakula wake za watu..nafikiri ashukuru tu hata sasa yupo hai..
Hizo huruma unazotaka zileta hapa ni za Kinaa..
Povu la omo bibiPovu la nini mzee?
Hamunaa....Tunatakiwa tupinge kwa nguvu zote tabia za watu kujichukulia hatua mikononi kwa lolote lile, Kwa sasa huwezi kuona madhara, Ila siku yakikukuta au yakimkuta mtu wako wakaribu ndipo utakapojua ubaya wake.