- Thread starter
- #21
Kwani ukiweka matuta standard gari hazitapunguza mwendo?dawa ya madereva vichaa wa hii nchi ni kuweka matuta tuu kila mahali ili ajali zipungue, wengine hata zebra hawazingatii, ilitakiwa mita 5 kabla ya kufikia zebra zipigwe tuta kama za viazi daadeki