TARURA na TANROADS yale matuta pale kigamboni mnadani yanaumiza sana! Tunaomba yaboreshwe au muweke moja kubwa

TARURA na TANROADS yale matuta pale kigamboni mnadani yanaumiza sana! Tunaomba yaboreshwe au muweke moja kubwa

Siku yaliyowekwa nilichelewa sana kurudi kama saa saba usiku ndio napita darajani. Ile nafika pale kona ya mwisho wa walami nilipiga zile tuta jidogo nipate ajali na nilikuwa mwendo wa kawaida ti kama 50km/hr. Nilishuka kuangalia nimekanyaga nini nilitukana sana mainjia wetu japo kimya kimya shwain
Hahah noma sana
 
Wameharibu barabara pale...yaani wabongo kwa uharibifu hamjambo...alafu kuna trafik anakaa pale kuchungulia anaekwepa yale matuta kama unatokea kibada
 
Back
Top Bottom