Kwani ukiweka matuta standard gari hazitapunguza mwendo?dawa ya madereva vichaa wa hii nchi ni kuweka matuta tuu kila mahali ili ajali zipungue, wengine hata zebra hawazingatii, ilitakiwa mita 5 kabla ya kufikia zebra zipigwe tuta kama za viazi daadeki
Wasomi wetu ni tatizo kuliko tatizo lenyewe.Kwa nia njema! Tarula/ Tanroad mmeweka matuta ili kupunguza speed!
Lakini aina ya matuta mliyotumia ni mabaya sana na yanaharibu vyombo vya moto!
Pia mbali na kuharibu vyombo vya moto yanatikisa mwili hadi ubongo!
Sasa kwa vile njia hiyo pia inaelekea hospital! Ikipitisha wagonjwa na wenye mishono mikubwa kwa ambulance!
Tunaomba matuta yale yaboreshwe angalau yawe katika mtindo wa tuta moja kubwa (humps) ili chombo cha moto kipite polepole pasipo mtikisiko kama ilivyo sasa!
Aina ya matuta yaliyopo sasa siyo rafiki kabisa kwa usalama wa vyombo vya moto (yanavipepeta vyombo vya moto kiasi cha kuleta uharibifu wa baadhi ya mali).
Wekeni matuta makubwa wala haitaathili lengo la kupunguza speed!
Ukitafakali Yale matuta waliyoweka hayana tofauti na magogo ya mnazi wanayowekaga wasiyo wataalam uswahilini.Wasomi wetu ni tatizo kuliko tatizo lenyewe.
Hawana Muda wa kufanya utafiti. Wanafanya mambo Kwa kukurupuka na kukomoa badala ya kurahisiha maisha ya watu wanaleta ugumu zaidi.
Matatizo yapo mengi, unaweka tuta linaua mtumiaji WA barabara, je mwenye kuweka haoni amechangia tatizo kuongezeka!? Tarura na Tanroad badilikeni muwe na standards na muwe professionalUkitafakali Yale matuta waliyoweka hayana tofauti na magogo ya mnazi wanayowekaga wasiyo wataalam uswahilini.
Tofauti ni hawa wametumia lami kuweka na uswazi wanatumia magogo ya miti! Lakini hakuna elimu iliyotumika
Hivi kwanini mbongo mpaka awekeweSometimes unajikuta unakufuru na kuhoji uwezo wa kufikiria wa hawa watu. Matuta yako less than 50m from the round about, nani atapita na speed kubwa kuzunguka round about? Sehemu ambayo ukiikaribia automatically unapunguza mwendo halafu unaweka matuta. Hawana akili.
Mtanzania uataraabu zeroKwani ukiweka matuta standard gari hazitapunguza mwendo?
Na nyie waendesha magari,kwann mpaka muwekewe matutaMatatizo yapo mengi, unaweka tuta linaua mtumiaji WA barabara, je mwenye kuweka haoni amechangia tatizo kuongezeka!? Tarura na Tanroad badilikeni muwe na standards na muwe professional
Matuta ni sehemu ya alama za barabara! Tatizo ni namna walivyo yaweka hayapo standards!Hivi kwanini mbongo mpaka awekewe
Matuta barabarani???
Ova
Matuta yapo duniani kote! Tofauti ya matuta ya ulaya na haya ni muundo!Na nyie waendesha magari,kwann mpaka muwekewe matuta
Mbongo pekee yake anawekewa matuta barabarani...maana hata akiwekewa kibao cha speed ndogo
Awe anapita hapo bado atakuwa anapita na speed 100
Wabongo ustarabu zeroooooo
Kwenye kila kitu
Ova
Hizi tuta ni mbaya hata ukipita taratibu gari inapata concasionUkiona hivyo wamesha aagiza ma contena ya Shockup za Magari yenu, yaani kila baada ya miezi mitatu lazima mbadilishe vipuli vya chini ya gari zenu!!!
Nchi zote na binadamu yeyote anawekwa kwenye mstari Kwa uwepo wa sheria!! Ila Sio Kwa uwepo WA polisi wanaochukua Hela za kiwi!! Pia technology imekuwa kunatakiwa kuwepo na taa za wavukaji na uwepo WA kamera kuwarecord wavunja sheria na bili zao za Makosa zitumwe maramoja kwenye simu zao, Hivyo watafeel hasara ya Makosa yaoNa nyie waendesha magari,kwann mpaka muwekewe matuta
Mbongo pekee yake anawekewa matuta barabarani...maana hata akiwekewa kibao cha speed ndogo
Awe anapita hapo bado atakuwa anapita na speed 100
Wabongo ustarabu zeroooooo
Kwenye kila kitu
Ova
Kwani uweka tuta standard gari hazisimami!? AU unataka kupanda viazidawa ya madereva vichaa wa hii nchi ni kuweka matuta tuu kila mahali ili ajali zipungue, wengine hata zebra hawazingatii, ilitakiwa mita 5 kabla ya kufikia zebra zipigwe tuta kama za viazi daadeki
Hapo sawaNchi zote na binadamu yeyote anawekwa kwenye mstari Kwa uwepo wa sheria!! Ila Sio Kwa uwepo WA polisi wanaochukua Hela za kiwi!! Pia technology imekuwa kunatakiwa kuwepo na taa za wavukaji na uwepo WA kamera kuwarecord wavunja sheria na bili zao za Makosa zitumwe maramoja kwenye simu zao, Hivyo watafeel hasara ya Makosa yao
Kwa weledi wako Naona hujakosea, ila Kumbuka Kuna standard zinazozingatiwa katika ujenzi WA Kitu Cha public Kwa ajili ya usalama WA public!! Pia kuweka Kitu ambacho kitasababisha madhara zaidi kuliko kuboresha ni Makosa makubwa!! Unamkinga mvukaji (kama ni Kweli) unamuua dereva na abiria WA usafiri mwingine)) Kama bodaboda, hii Haijakaa sawaKweli Yale matuta sio Ila nikiangalia akili za Madereva wa magari na Bodaboda naishia kusema waongeze matuta zaidi
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app