Ndo hapo sasaKwa weledi wako Naona hujakosea, ila Kumbuka Kuna standard zinazozingatiwa katika ujenzi WA Kitu Cha public Kwa ajili ya usalama WA public!! Pia kuweka Kitu ambacho kitasababisha madhara zaidi kuliko kuboresha ni Makosa makubwa!! Unamkinga mvukaji (kama ni Kweli) unamuua dereva na abiria WA usafiri mwingine)) Kama bodaboda, hii Haijakaa sawa
Eti kupunguza ajali za barabarani,na si kuziondoa kabisa!!!!Hivi kwanini mbongo mpaka awekewe
Matuta barabarani???
Ova
Basi njia nzima ziwe matuta mwanzo mwisho!!Mtanzania uataraabu zero
Mbongo mpaka awake matuta barabarani asipowekewa
Huo mwendo akatao pita hapo
Kama kichaaa
Narudia tena,mbongo ustarabu wa uendeshaji ni zeroooo
Ova
Si ndiyo maana tukaweka traffic wasimamie madereva wanaovunja Sheria barabarani!? Sasa Kama ma traffic wenyewe wameamua kuwa Marafiki na madereva Wazembe kwa kupeana kitu kidogo ili Maisha yaendee,hiyo ni shauri yao! ila umsituazibu na sisi madereva wafuata Sheria za barabarani kwa kutuwekea hiyo mituta utazani magogo ya tanesco!!!Na nyie waendesha magari,kwann mpaka muwekewe matuta
Mbongo pekee yake anawekewa matuta barabarani...maana hata akiwekewa kibao cha speed ndogo
Awe anapita hapo bado atakuwa anapita na speed 100
Wabongo ustarabu zeroooooo
Kwenye kila kitu
Ova
Na kweli Yale siyo matuta ni magogoSi ndiyo maana tukaweka traffic wasimamie madereva wanaovunja Sheria barabarani!? Sasa Kama ma traffic wenyewe wameamua kuwa Marafiki na madereva Wazembe kwa kupeana kitu kidogo ili Maisha yaendee,hiyo ni shauri yao! ila umsituazibu na sisi madereva wafuata Sheria za barabarani kwa kutuwekea hiyo mituta utazani magogo ya tanesco!!!
Kabisa ijulikane ni barabara ya matutaBasi njia nzima ziwe matuta mwanzo mwisho!!
Kwa hiyo wwe unaamini madereva wote barabarani ni wavunja Sheria!? Hakuna hata madereva wachache wanaofuata Sheria!? Je hao wanaofuata Sheria kwa nini nao wahukumiwe kwenye azabu ya matuta!!??Kweli Yale matuta sio Ila nikiangalia akili za Madereva wa magari na Bodaboda naishia kusema waongeze matuta zaidi
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
madereva wa kibongo wakiwekewa vituta vidogo wanapita shwaaa, gari linatetetema triii, bodaboda ndio usisema mpaka wagongwe watu ndio tuweke matuta?Kwani uweka tuta standard gari hazisimami!? AU unataka kupanda viazi
Nioneshe mtu anaepita na 100 kwenye tuta kubwa liliosanisifa vizuri standard!madereva wa kibongo wakiwekewa vituta vidogo wanapita shwaaa, gari linatetetema triii, bodaboda ndio usisema mpaka wagongwe watu ndio tuweke matuta?
Matuta yamewekwa kwa faida ya watu wote ...km ww unafuata sheria usidhani kila mtu anafuata sheriaKwa hiyo wwe unaamini madereva wote barabarani ni wavunja Sheria!? Hakuna hata madereva wachache wanaofuata Sheria!? Je hao wanaofuata Sheria kwa nini nao wahukumiwe kwenye azabu ya matuta!!??
Hapo unakuta hayo maamuzi yametumika kumkomoa dereva m'moja au watatu ambao hupita kwa fujo eneo hilo badala ya kumvizia wamlambe fine kubwa sana ambayo itamuacha na madeni na akili imkae sawa sawa next time afikirie mara mbili mbili kupita kibwege kama hivyo.Sometimes unajikuta unakufuru na kuhoji uwezo wa kufikiria wa hawa watu. Matuta yako less than 50m from the round about, nani atapita na speed kubwa kuzunguka round about? Sehemu ambayo ukiikaribia automatically unapunguza mwendo halafu unaweka matuta. Hawana akili.
Mkipita hapo muwe na chupa ya diesel hata lita moja kwa siku mkimwagia lita 5 especially kipindi hiki cha jua hayo matuta yatayeyuka kama karatasi imekutana na maji.Ma engineer wa kibongo shida tupu! Ile barabara ya kutoka Darajani kwenda ferry au kibada,inahitaji taa za barabarani,na wala siyo hayo matuta ya Rasta za Bob mlioweka! Toweni Mara moja kabla sijawasemea kwa Mama!!!
,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mainjinia wasomi ni wachina pekee waliotoa mataa ubungo wakati wa ujenzi na kuweka mzunguko Foleni ya miaka mingi iliyosumbua Wasomi wetu ikaisha kabla ya kuweka Flyovers. Wengine wote ni p....ndaaaaaaaUkitafakali Yale matuta waliyoweka hayana tofauti na magogo ya mnazi wanayowekaga wasiyo wataalam uswahilini.
Tofauti ni hawa wametumia lami kuweka na uswazi wanatumia magogo ya miti! Lakini hakuna elimu iliyotumika
Wataweka tena konki ya zegeMkipita hapo muwe na chupa ya diesel hata lita moja kwa siku mkimwagia lita 5 especially kipindi hiki cha jua hayo matuta yatayeyuka kama karatasi imekutana na maji.
Mwongozo upi
Mwili na Ubongo🤣🤣🤣🤣Eti yanatikisa hadi nini?😀😀😀😀