Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
- Thread starter
- #21
View attachment 2179396
Wajinga tu hao tuachane nao usilipe
Wanafunga wale special task force.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2179396
Wajinga tu hao tuachane nao usilipe
Hiyo ni penalty ya wrong park
kwanza walisema hawaleti faini nashangaa wameingia ujinga
wachafuke mara ngapi! wanajitakia kufukuzwa tu! wamekuwa matapeli wakubwa!Hata mimi nimekuta deni kubwa mno kwa gari ambayo inatoka mara chache sana. TARURA itabidi ichunguzwe kwa umakini, hizi hesabu zina shida kubwa! Mtaingia kwenye mgogoro mzito na wananchi na kuichafua serikali bila sababu.
Kuna tetesi kuwa watatoa tamko kurekebisha. Hii ni kituko na inabidi serikali wawe serious kufatilia kwa karibu otherwise kuna crisis huko mbele itatokea.wachafuke mara ngapi! wanajitakia kufukuzwa tu! wamekuwa matapeli wakubwa!
Inauma na kuudhi, unalazimika kumuita mdada WA parking akupe risiti baada ya kuhisi huenda amepiga picha na anakujibu machine haitoi risiti labda upige picha machine!! Seriously!! Nina hadi hizo picha za kupata lipa numba Kwa mbinde!!kwanza walisema hawaleti faini nashangaa wameingia ujinga
Waizi hao, wanapata commission.Hawa tarura watakuwa wanabambika hizi bill Kwa sana!! Mimi huwa nakutana na Hawa madada Wana mashine na huwawezi kutoa risiti, wanajidai vitabu vimekwisha na vivyo wanascan kiwiziwizi au kinyemela bila mhusika kujua
mimi nina ushahidi nilienda kuangalia nikakuta gari iliyopigwa picha ni nyingine na nimeandikiwa mimi! wakasema watafuta hawajafuta! dawa ni kuwasemeaKuna tetesi kuwa watatoa tamko kurekebisha. Hii ni kituko na inabidi serikali wawe serious kufatilia kwa karibu otherwise kuna crisis huko mbele itatokea.
mimi nina ushahidi nilienda kuangalia nikakuta gari iliyopigwa picha ni nyingine na nimeandikiwa mimi! wakasema watafuta hawajafuta! dawa ni kuwasemea
Mfumo wa sikuhiz hautoi Receipt cha muhimu kama unajua umetumia maegesho jikague utakutana na Control number yakoTARURA watu wa hovyo sana,hawajaweka hata namba za Malalamiko ujue unapiga wapi kusaidiwa.
Ila kibaya zaidi wamewaambia wahudumu wao wasitoe Risiti sijui lengo lao ni nini,kwa mfano Mhudumu wao wa Mwembeyanga Temeke kila siku Mashine yake Mbovu haitoi Risiti sasa unajuaje kakuwekea Tsh ngapi na unalipaje hiyo Fee bila Control Number na ukichelewa kulipa ndiyo unakutana na hayo mafaini.