SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Hakuna faini asilimia ya asilimia 538% mtu anaweza kutozwa na serikali kwa kisa cha kuchelewa kulipia huduma za kiserikali.
Hapo ni lazma kuna shida, tena kubwa sana.TARURA WAMEANZA KUTOZA FAINI KWA WADENI SUGU WA MATUMIIZI YA MAEGESHO KUANZIA TAREHE 1 MACHI 2022, KAMA UNA GARI NA UNATUMIA MAEGESHO YA SERIKALI LIPA USHURU WA MAEGESHO MAPEMA KUEPUKA FAINI