Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Taifa linalokuwa na tasnia ya habari iliyojaa uoga ni taifa mfu. Maana ni taifa ambalo haliwezi kupata taswira au picha kamili ya jinsi hilo taifa lilivyo.
Nini kinawapa wanahabari kupata kigugumizi juu ya kuhoji juu ya taharuki, sekeseke na hofu iliyotanda hapa nchini?
Ni makosa kuandika na kuhoji kinachoendelea? Mnaacha watu wahoji kwa kutumia social media huku wakiwa wamejibanza kwa majina feki? Kwa nini msiwasaidie Watanzania ambao hawana uwezo wa kuingia JF na Twitter kupata habari?
Je, mnashindwa kuwasiliana na Kurugenzi ya mawasilano Ikulu ili kupata ukweli kisha kuwafahamisha ukweli watanzania? Ukweli ili kuondoa hofu na taharuki kumsaidia mkuu wenu wa nchi.
My take; Tasnia ya habari imekufa hapa Tanzania. Waandishi wengi walivamia kazi ya uandishi bila wito.