M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,039
Ni kwa vile ni magazeti ya Bashite (kny ya uncle mkubwa).Mbona Tanzanite na Fahari Yetu yameandika Mbowe kuzushiwa kifo?
Mwisho wake ni wiki ijayo wakati pale juu atakapokaa "mnene" mwingine. Finally chama letu litakuwa fully in control... huku '"mzee wa nyara", "napkins" na "mwezi wa kwanza" wakipiga jaramba kutimba dimbani.
Mwisho wa ubaya aibu!!