wanawapoteza maboya waache kufuatilia huu mjadala wa alipo Mkulu!Mbona Tanzanite na Fahari Yetu yameandika Mbowe kuzushiwa kifo?
Si wafanyeAcha uzushi. Wamezuiwa?
Kweli kabisa. Lakini kuna ma-sinia naHakuna cha ta-sinia wala cha ta- bakuli
Vipi kama aliyeiua hiyo tasnia ya habari kama nae kafa....!? Tuanzie hapo kwanza ili tuone kama itafufuka au kaondoka nayo...Ungeanza na aliyeua hiyo tasnia ya habari Kwanza kabla hujalaumu hao jamaa
Tanzanite ni mdomo wa Ikulu kwa hiyo kuzusha jambo na kulindwa ni kawaida.Mbona Tanzanite na Fahari Yetu yameandika Mbowe kuzushiwa kifo?
Kahaba unaetafuta mabwana Jf utakuwa na upeo wa kujua mambo?Ukiambiwa yupo Chato anakule sato utakubali au bado utaendelea kuamini yupo Nai au India kama mnavyoaminishana?
Unaouhakika na ulichoandika?Mwandishi wa habari mdogo nchini Prima kwa mwezi akipata sana amepata milioni moja na nusu. Akirusha habari ambayo serikali ya Prima itakasirishwa inamtoza faini ya milioni tano utamsaidia kulipa wewe?
Waandishi wakubwa wenye media house nao kama Chanel 6 na IVT wao wakijichanganya wanakula ban ya 6 month. Je unadhan kuna mtu atasema chochote? Hao wenye majina fekinwengine wao ni hao hao waandishi na wao wakisaka closure.
Unaouhakika na ulichoandika?
Kama huwezi kuthibitisha unapost nini?[emoji3525][emoji3525][emoji3525] siko hapa kukuthibitishia kuhusu yanayoendelea Prima kama wewe huyaoni.