Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,896
Wewe pia ungekua huogopi ungetumia jina lako halisi, kitendo cha wewe kuingia JF kwa jina bandia ilihali unaweza kutumia jina lako halisi kinaonesha hata wewe unaogopa; kwanini ufikirie wenzio waondoe hofu ilihali wewe pia unaogopa? Waandishi wa habari bila kujali elimu zao, na wenyewe ni binadamu kama wewe tu