Taswira ya Yesu anayehubiriwa ni tofauti na Yesu halisi

Luke hakuwahi kumfahamu Yesu wala kumwona. Alifundishwa Gospel na Paul. Kati ya hao waandishi wa gospel ya Yesu wawili kati yao hawakumfahamu Yesu personally labda mathew. Unless kama unaweza kunipa source inayosema otherwise mkuu

Matthew siyo Mathew kama watu wengi wanavyoandika kama wewe!
 

Hilo neno ‘outcast’ limetumiwa sana humu na pengine linachanganya watu pia! Andika kiswahili cha outcast.
 
Ni kama Cha The diary of whimp kid?
 
Umeshiba mapera unakuja kuandika ujinga humu!?
 
Alikwenda Kenya akawaambia wamchangie mabati ya kuezekea nyumba
 
Quran imemuandika nabii Issa, siyo Yesu
 
Umeeleweka mkuu. bila shaka mleta mada kaelewa.
 
Kama anavyoonekana Tundu Lissu
 
Stori zilizokuja na majahazi ilibmuibiwe mali kamwe huwezi zielewa mwafrika. Ww labda ukaelewe mizimu na kuabudu miembe
 
Katika wote uliowataja kwenye biblia nzima hakuna aliyemwona yesu Period..
Agano jipya lote limeandkkwa na third person watu wote waliosimuliwa kuhusu Yesu....na sio Eye witness accounts kwa hiyo hawana tofauti na Mohamed..
 
Nimeisoma Quran. Haina Yesu. Usitake mdanganya jamaa... QURAN HAINA YESU. Ukitaka tuanze kushuka maandiko hapa tuanze tumzungumzie Muhamad na Yesu na Issa. Huwa haya ndo mambo ninayoyapenda.
Na mimi pia nayapenda Japo sipo upanxe wwote nilishajitoa Gerezani na siko katika utumwa japo nimepita magereza yote vizuri...
Na nakuambia kuwa Huwezi kusimiliwa yesu wa kweli kwa sbabu hakuna aliyewahi kumuoma akaandika habari zake
 
Unavyofikiria ni sawa na mtu anayefikiria kwanini Mungu anaruhusu mvua inyeshe baharini
 
Yaan ukianza kutumia COMMON SENSE kwenye mambo ya kiroho unapotoka....

Naona umeshiba + Kiburi Cha uzima unajikuta unaanza ku challenge dini (YESU KRISTO WA NAZARETH)

Acha kumtizama YESU KRISTO WA NAZARETH katika hiyo perception (Angle)uliyo mtizama Kuna mengi aliyo anayo yafanya mpaka muda huu ....

Wasalaam
 
Hapa sasa ndipo ndipo shida inapoanzia.
Hakuna sehemu nilipochallenge ila nimeongea uhalisia ukisoma story ya maisha yake. Tofautisha uhalisia na kuchallenge. By the way yeye mwenyewe aliwajibu kwanini ana mingle na watu hao.
Hivi hivi ndivyo mnawaambuiwa shetani ni jitu la kutisha linaogopesha, wakati mambo mengi ya shetani ndiyo yenye kumvutia binadamu, mfano: ulevi, uzinzi, yani starehe starehe. Kuna maandiko yanasema shetani alikuwa malaika mzuri kwa mwonekano kuliko wote.
In short, mimi nilichokiandika sio kuchallenge ila nimeongelea namna ambavyo jamii ya kipindi kile ilivyokuwa ikimchukulia. Swali kwako mkuu: Kwanini mpaka leo Wayahudi hawamkubali Yesu?
 
Na mimi pia nayapenda Japo sipo upanxe wwote nilishajitoa Gerezani na siko katika utumwa japo nimepita magereza yote vizuri...
Na nakuambia kuwa Huwezi kusimiliwa yesu wa kweli kwa sbabu hakuna aliyewahi kumuoma akaandika habari zake
Une Elimu gani? Ilimu Duniya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…