dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Iyo piga nikupigeHahahaaa kwaiyo mmeumbuana sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo piga nikupigeHahahaaa kwaiyo mmeumbuana sio?
Bae we ndo wa kuongea hvyoo??Mimi mzungu kasoro rangi kamanda hata wewe jiachie tu kiroho safiiii
Bae we ndo wa kuongea hvyoo??
Hapana ilA nimekwazika manaNmepatia?
Ata mimi naona bora tu nihamie kwako mazimaUkiona hivyo kashakuchoka huyo, achana naye.
Umekwazika tena?? KivipHapana ilA nimekwazika mana
Kwa nin kipenzi muache kijana asafishe nyotBae we ndo wa kuongea hvyoo??
[emoji24] daah kweli dunia haina hurumaAta mimi naona bora tu nihamie kwako mazima
Mimi na macho ya kurembua tenaUmekwazika tena?? Kivip
Mimi na macho ya kurembua tena
Bas nisamehe kipenzi kama huna kama unayo usinsameheMimi na macho ya kurembua tena
Niweke picha yako?Natamani mtu aniambie akiona mwandiko wangu anapata taswira gani nicheke kidogo
Hapana ilA kuna vitu kama hujapendezwa nacho lazima useme sio kufa na tai shingoniMkuu mimi naona nyie mmechokana kwa kweli.
Tongoza tongoza oyeeAta mimi naona bora tu nihamie kwako mazima
Unamaanisha Mwifwa huyu huyu nimjuaye?Mwifwa ni kijana umri 34-40. Mrefu ft 5 7' ana uso duara( sio wa kitutsi)
Mpole mcheshi anapenda starehe kiasi( disco outing). Si mpenzi wa pombe. Ana mke na watoto wawili.
Ni msomi wa kadri.
Mtumishi wa umma.
Hofu shaka ondoa nimesha kusamehe kipenzBas nisamehe kipenzi kama huna kama unayo usinsamehe
Huyo huyo.Kijana wa Nsumba Sec Enzi hizo
[emoji23] [emoji23] umeambiwa taswira we babu sio picha khaaNiweke picha yako?
I love you kassie.Kwa wale ambao hatujawahi kuonana humu na wale ambao hamjawahi kukutana na taswira ya Kasie kwenye mitandao ya kijamii kama wasap na kwingineko.
Jaribu kuelezea Kasie taswira yake atayepatia nampa nafasi ya kupata nae mlo wa mchana au wa usiku siku nikiwa off kwenye hoteli yoyote atayoichagua. Kwasababu mie ndo natoa ofa gharama zinakuwa kwangu.
Angalizo: usije na ID mchepuko yako kujieleza hapa wewe ambaye unanijua tulishaonana au ulishakutana na taswira ya Kasie huko. Nikigundua basi ofa inaghairishwa. Karibuni.