Taswira za wana JF , imaginary ghost?

Taswira za wana JF , imaginary ghost?

Mwifwa ni kijana umri 34-40. Mrefu ft 5 7' ana uso duara( sio wa kitutsi)
Mpole mcheshi anapenda starehe kiasi( disco outing). Si mpenzi wa pombe. Ana mke na watoto wawili.
Ni msomi wa kadri.
Mtumishi wa umma.
Unamaanisha Mwifwa huyu huyu nimjuaye?

Umeingia chaka kinoma
 
Kwa wale ambao hatujawahi kuonana humu na wale ambao hamjawahi kukutana na taswira ya Kasie kwenye mitandao ya kijamii kama wasap na kwingineko.

Jaribu kuelezea Kasie taswira yake atayepatia nampa nafasi ya kupata nae mlo wa mchana au wa usiku siku nikiwa off kwenye hoteli yoyote atayoichagua. Kwasababu mie ndo natoa ofa gharama zinakuwa kwangu.

Angalizo: usije na ID mchepuko yako kujieleza hapa wewe ambaye unanijua tulishaonana au ulishakutana na taswira ya Kasie huko. Nikigundua basi ofa inaghairishwa. Karibuni.
I love you kassie.
Nikiona tu post yako mboan najawa na ny*****eeee afu najenga hema hatari.
I dont know why. Think about me the lovely Kassie.

Have a nice weekend.
 
Back
Top Bottom