Tathmini fupi mechi ya Young Africans vs Singida Black Stars

Niliwaambia dube ataendelea kufunga tumpe muda na nafasi afanye yake,,Mpira ni namba na dube anatusuta kwa hilo goli 9 asisti 8 mchango wa goli 17 alafu mtu aseme sio mshambuliaji!
Hakuna mtu. Kipimo kiwe kwenye mechi za ushindani, sio ambazo matokeo yake yanajulikana
 
Pacome mlikuwa mnatutisha na vile viclip vya gym, tukasema acheni kutudanganya. Tunajua kwa nini ameshuka kiwango.

Mzize hakustahili man of the match. Nashon angepewa hiyo tuzo.

Leo hakukuwa na mechi pale.
 
Unaomba shati litafutiwe vest linaonya sana!
 
Pacome mlikuwa mnatutisha na vile viclip vya gym, tukasema acheni kutudanganya. Tunajua kwa nini ameshuka kiwango.

Mzize hakustahili man of the match. Nashon angepewa hiyo tuzo.

Leo hakukuwa na mechi pale.
Pacome hata iweje hawezi kuwa kama Mutale, Ahoua, Chasambi n.k
 
Hakuna mtu. Kipimo kiwe kwenye mechi za ushindani, sio ambazo matokeo yake yanajulikana

Nimeanza kuelewa kwanini Singida Walimfukuza Uchebe baada ya mechi ya Yanga?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mechi ya KISANII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…