Tathmini: Sherehe za Christmas 2023 zadorola kuliko mwaka wowote. Wananchi wakabiliwa na dhiki kubwa, haijawahi kutokea

Mimi kwangu siku ya Christmas naiona kama siku ya kawaida. Chakula ninachokula hakina tofauti na siku zingine. Kama ni ugali na dagaa basi ni hicho hicho.
 
Mbona ndio ngonjera zenu za kila mwaka hizo. Kwani mwaka gani ambao haujawahi kusema hivyo? Mwaka gani uliposema na kusema sherehe zimefaana na kupendeza?
 
Mbona ndio ngonjera zenu za kila mwaka hizo. Kwani mwaka gani ambao haujawahi kusema hivyo? Mwaka gani uliposema na kusema sherehe zimefaana na kupendeza?
 
Nashukuru magulful hayupo maana walamba asali wangemsukumizia lawa kuwa yeye ndo amefilis watu
 
Christmas Dar es Salaam!
Sio mahala pake.
We subiri Iddi ndo utaiona Dar

Christmas ni Kilimanjaro huko....
Waulize wachaga kama ilidorora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…