msapinungu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 839
- 692
Mbwa Koko wameadimika kabisa hapa Iringa, Si Ilala, Makorongoni, Mshindo, Kitanzini,Kihesa wala Semtema!Mbwa pia wameadimika huko iringa na mbeya au wamepanda bei!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwa Koko wameadimika kabisa hapa Iringa, Si Ilala, Makorongoni, Mshindo, Kitanzini,Kihesa wala Semtema!Mbwa pia wameadimika huko iringa na mbeya au wamepanda bei!
Watoto je ?Mimi kwangu siku ya Christmas naiona kama siku ya kawaida. Chakula ninachokula hakina tofauti na siku zingine. Kama ni ugali na dagaa basi ni hicho hicho.
Mufindi nahisi bado wapo wapo kidogo!Mbwa Koko wameadimika kabisa hapa Iringa, Si Ilala, Makorongoni, Mshindo, Kitanzini,Kihesa wala Semtema!
Serikali ya Samia Haina wanyonge Bali Ina MAKAPUKU WENGI.... Bora uwe mnyonge lakini Sio kapuku.... Mama anaupiga mwingi.Tanzania ya Samia Haina wanyonge
Noma sana !Awamu ya 5 na sita simesababisha umasikini mkubwa nchini.Hata watumishi wa umma Hali zao siyo nzuri ukolinganisha na nchi kama Zambia.
Kwa Samia hakuna Wanyonge Wala kapuku watu wanapiga pesa.Serikali ya Samia Haina wanyonge Bali Ina MAKAPUKU WENGI.... Bora uwe mnyonge lakini Sio kapuku.... Mama anaupiga mwingi.
Usiwasingizie awamu ya 6,awamu ya 6 Wananchi wanapiga pesaAwamu ya 5 na sita simesababisha umasikini mkubwa nchini.Hata watumishi wa umma Hali zao siyo nzuri ukolinganisha na nchi kama Zambia.
Nashukuru magulful hayupo maana walamba asali wangemsukumizia lawa kuwa yeye ndo amefilis watuView attachment 2853740
Baada ya kufanya Tathmini kabambe huku D'Salaam na Mkoani Mbeya , kwa kweli tumegundua kwamba Sherehe za Christmas ni kama hazipo kabisa kutokana na dhiki kuu iliyosababisha Ugumu mkubwa wa Maisha ambao Wazee wengi wanadai haujawahi kuwepo kwenye nchi tangu wapate akili.
Mishahara duni ya Wafanyakazi, pamoja na kuanguka kwa uchumi kulikosabisha pia kuanguka kwa biashara kumewafanya watu wengi kula Matembele na Sembe au Dagaa mchele na Ugali wa dona. Bei ya Nyama na Mchele hazishikiki ambako kilo 1 ya nyama imefikia hadi elfu 12 huku mchele wa kuridhisha ukifikia hadi tsh 3500 kwa kilo moja.
Sababu kubwa ya mambo haya imetajwa kuwa ni Kushindwa kwa serikali ya Tanzania kuinua Uchumi wa nchi na hata uchumi wa mtu mmojammoja, dhiki inayowakabili wananchi wa Tanzania kwa sasa imezidi hata ya enzi zile za kuvaa viraka kwenye makalio na kama hali itaendelea kubaki hivi kuna hatari Watanzania kuanza kula mizizi.
Mkuu ni vizuri ukajikita kwenye madaNashukuru magulful hayupo maana walamba asali wangemsukumizia lawa kuwa yeye ndo amefilis watu
Makao makuu ya Christmas na Mwaka mpya kitaifa ni Kilimanjaro.
Ili kupata tathmini sahihi, ni vyema kuhamishia tathmini yako mkoa tajwa.
Christmas Dar es Salaam!View attachment 2853740
Baada ya kufanya Tathmini kabambe huku D'Salaam na Mkoani Mbeya , kwa kweli tumegundua kwamba Sherehe za Christmas ni kama hazipo kabisa kutokana na dhiki kuu iliyosababisha Ugumu mkubwa wa Maisha ambao Wazee wengi wanadai haujawahi kuwepo kwenye nchi tangu wapate akili.
Mishahara duni ya Wafanyakazi, pamoja na kuanguka kwa uchumi kulikosabisha pia kuanguka kwa biashara kumewafanya watu wengi kula Matembele na Sembe au Dagaa mchele na Ugali wa dona. Bei ya Nyama na Mchele hazishikiki ambako kilo 1 ya nyama imefikia hadi elfu 12 huku mchele wa kuridhisha ukifikia hadi tsh 3500 kwa kilo moja.
Hata kwenye vinywaji nako ni balaa , Pombe pekee iliyong"ara kwenye mauzo inajulikana kama "Kisungura" sifahamu hasa inaitwaje , ila ni kijipombe kilicho kwenye vichupa vidogo vya plastic , mwanzoni kipombe hiki walikuwa wanakunywa vijana makapuku , lakini kwa sasa hata maofisa wanakunywa kutokana na ugumu wa maisha , hakuna Mtanzania anayeitwa Mnyonge anayeweza kununua bia angalau 5 tu , hii ni balaa !
Sababu kubwa ya mambo haya imetajwa kuwa ni Kushindwa kwa serikali ya Tanzania kuinua Uchumi wa nchi na hata uchumi wa mtu mmojammoja, dhiki inayowakabili wananchi wa Tanzania kwa sasa imezidi hata ya enzi zile za kuvaa viraka kwenye makalio na kama hali itaendelea kubaki hivi kuna hatari Watanzania kuanza kula mizizi.
Sawa sawa.Makao makuu ya Christmas na Mwaka mpya kitaifa ni Kilimanjaro.
Ili kupata tathmini sahihi, ni vyema kuhamishia tathmini yako mkoa tajwa.
Nani kakwambia?Hata huko hali si nzuri