Uchaguzi 2020 Tathmini: Tamasha la CCM lilikuwa la hovyo na aibu tupu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
uko sahihi , kingine ni hiki , 80% ya watumbuizaji na wahudhuriaji hawakuwa wanaccm akiwemo Mbasha na Adam , ila wengi walijifanyisha kama wafanyavyo siku zote ili kujilinda na kuendelea kujipigia mpunga wa bure
Hahahaha yes hili sikuliona. Shukrani sana
 
Kwa hiyo Adamu mchomvu aitwe kwenye kamati ya maadili ya CCM?
 
Kushirikiana na shetani ni lazima ukumbane na aibu
 
Tamasha la hovyo kabisa
 
ungejua bei iliyolipwa kwa kila wimbo nina hakika ungejipiga kitanzi , hela za ccm zinaliwa kibwege sana !
Mkuu siyo za ccm, ni ile trillion 1.5 ya wanyonge iliyokwapuliwa kihuni na majambazi ya kijani, halafu yanajifanya yanalinda na kutetea rasilimali za taifa kumbe ni majizi kuwahi kutokea duniani, shame upon them
 
CCM wametumia gharama kubwa kuandaa Fiestaccm wakitarajia wanabrand Chama kuelekea uchaguzi mkuu, chakushangaza tukio lao halizungumzwi kabisa.

Man of the match kawa Adam Mchomvu.

Kama Mchomvu kawa mkubwa kuliko CCM, Tundu Lissu mtamweza!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Bavicha mna shida
 
Asante Adamu kwa kuharibu mambo yao yakishetani , watu Hosptali wanakufa kwa kukosa Huduma then nyie wapuuzi wa ccm mnachezea hela za umma.
Inawezekana it was planned
Wakosaniiii wa bongo tunawaangaliaa tu
Kutesa kwa zamu huu ni wakati wenu siku meza zikipinduliwa ndiyo iwe siyo na siyo iwe ndiyo napo tutawaangalia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…